Hongera sana baba tee mondi the baddest nimekuelewa sana leo roho yako tofauti sana na wanaopenda kushindana kujikweza na kujiona wao ndo mashababi wa muziki kwa ukubwa wa muziki wako na jina lako ulivo lifanya brand worldwide Mungu akusimamie mimi kama Mtanzania najivunia wewe mondi endelea kutusua akili yako ni ya kutazama mbali na ufike mbali inshaallah!
Kuwa na mtoto mdogo sio sababu yakutoliwa mzigoHuyu Zari si ana mtoto mdogo huyu????
Samahani mkuu hivi hawa wana ndoa au wamesogezana tu?Wanawake dizaini ii unatakiwa uwe na hekima nao,
...uo umri,experience na fedha zilizopo mbele yake,ila japo kweny swala LA umri na experience alitakiwa zari awe mweny hekima na ulinzi na ndoa yake,..japo diamond anaonekana ni MTU MWe busara nyingi,..zari ajitathmini ameshakua MTU mzima,halingani na akina bongo movie aoneshe utofauti,
Samahani mkuu hivi hawa wana ndoa au wamesogezana tu?
Walifunga ndoa lini?Wanawake dizaini ii unatakiwa uwe na hekima nao,
...uo umri,experience na fedha zilizopo mbele yake,ila japo kweny swala LA umri na experience alitakiwa zari awe mweny hekima na ulinzi na ndoa yake,..japo diamond anaonekana ni MTU MWe busara nyingi,..zari ajitathmini ameshakua MTU mzima,halingani na akina bongo movie aoneshe utofauti,
Walifunga ndoa lini?