Mahojiano ya msanii Diamond(WCB) ndani ya XXL ya Cloudsfm

Hongera sana baba tee mondi the baddest nimekuelewa sana leo roho yako tofauti sana na wanaopenda kushindana kujikweza na kujiona wao ndo mashababi wa muziki kwa ukubwa wa muziki wako na jina lako ulivo lifanya brand worldwide Mungu akusimamie mimi kama Mtanzania najivunia wewe mondi endelea kutusua akili yako ni ya kutazama mbali na ufike mbali inshaallah!
 
Attachments

Firefirefireeeee wasambaa ndaniiii sepengaaa ndaniii zarina ndaniiii fireeee jamani mondi nikama maji usipokunywa utafua usipofua utapika nk...[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji95]
 
Diamond ni msanii wa bongo ambae anajua kunyoosha maelezo katika Interview zake na anajiamini kama young TUSO ingawa young tuso bado hajawa mkubwa ila interview zake safi
 
Diamond anadai ile haikuwa kiki alikuwa amekasirishwa na kupaniki sana na picha iliyotumwa mtandaoni ikionyeshwa Zari akikamatwa maeneo flani
Ila alipompigia simu Zari akamuambia ile haikuwa kama inavyoonekana bali ni reflection ya mwanga ndipo akaitoa,
 
Usiku kabla ya kurusha hayo aliyochemka alikuwa kwao hapo SA kwa sababu alirusha hayo snapchat, hiyo simu labda alimpigia Zari alipokuwa kazini.
 
Wanawake dizaini ii unatakiwa uwe na hekima nao,
...uo umri,experience na fedha zilizopo mbele yake,ila japo kweny swala LA umri na experience alitakiwa zari awe mweny hekima na ulinzi na ndoa yake,..japo diamond anaonekana ni MTU MWe busara nyingi,..zari ajitathmini ameshakua MTU mzima,halingani na akina bongo movie aoneshe utofauti,
 
Samahani mkuu hivi hawa wana ndoa au wamesogezana tu?
 
Wanawake dizaini ii unatakiwa uwe na hekima nao,
...uo umri,experience na fedha zilizopo mbele yake,ila japo kweny swala LA umri na experience alitakiwa zari awe mweny hekima na ulinzi na ndoa yake,..japo diamond anaonekana ni MTU MWe busara nyingi,..zari ajitathmini ameshakua MTU mzima,halingani na akina bongo movie aoneshe utofauti,
Walifunga ndoa lini?
 
Back
Top Bottom