Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

Tayari chama tawala kinatoa taswira kwamba wizi sio dhambi so wananchi watajifunza nini??

Serikali ya ccm ifikirie vingine mbeleni si kuzuri
 
ZAIDI MAMA LEO KAENDELEA KUWAPA HOJA WANAOTAKA KATIBA MPYA HASA KWA KUONGELEA JAMBO LILILO MAHAKAMANI BILA AIBU TENA KWA UWONGO SIJUI KASHAYRIWA NA NANI
SITAKI KUAMINI KAMA JANI MKUU KASHINDWA KABISA KUMPAGUIDE
 
Umeandika vizuri sana.
 

Unadhani kuwa tatizo ni washauri? Huyu ni cynical. Tatizo zima ni cynicism.

Haipo nia njema. Kilicho mbele ni matumbo yao.

Suluhu (siyo jina lake) hii hapa:

 
Kwenye hili la Mbowe mama kajiharibia sana ,sijui kama anashauriwa na wanao mpenda!
Tatizo huyu mama hajiamini na waliomzunguka wanajua hili hivyo wanamtisha ili kutimiza matakwa yao. Kila mara raisi mwanamke, mara mimi amiri jeshi mkuu, zote hizi ni kauli za kutojiamini. Nchi imeachwa inaenda kwa ushauri tu bila msimamo wa raisi wetu kuonekana. Naamini mama ssh alikuwa na nia njema kabisa ya kuleta utawala wa sheria ila kuna wahafidhina kama mzee mkuchika bado wana mawazo ya kiimla.
Dunia ya leo huwezi kutawala kwa maguvu ya dola ukadumu ni lazima utawala wa hivyo utakuja kuishia pabaya. Nchi hii ni yetu sote na juhudi zozote za hila kuwatenga wengine katika kutawala nchi hii itatupeleka kubaya ndugu zangu. Tusifike watu wakasema sasa basi kwani ndipo tutafikia ya Yemen, au kwingine kokote ambako amani imetoweka. Watakao leta mtifuano ni watawala kwa kutumia hila kuendelea kutawala - waache wananchi waamue. Leo wananchi wanadai katiba mpya kwani wameona matokeo ya uchaguzi uliopita na leo wakurugenzi wote ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa ccm.
Mama Samia, Mungu akupe moyo wa ushujaa ili uje uache legacy katika nchi hii. Hufanani na ubabe hata kidogo, acha Mungu akuongoze na si wahafidhina wanaokuzunguka.
 
I agree with u
 
Nje ya misukosuko na Polisi ukweli CHADEMA kimeepuka kwa 100 asilimia kuanzisha vurugu kwa namna yoyote ile, kuvamia , kupiga watu au kumiliki silaha ata mawe tu.
 
Jiwe chali,sabaya chali,.....ngoja tuendelee kusubiri
 

tatizo lenu hua mnajifanya mnajua sana kushinda watu wote yaani nyie mkisema ndo hamkosei, mbna kipindi bilkanas inavunjwa hamkutia neno na ushahidi ulikuepo iweje leo aonekane hawezekani kukosea?
 
H
Hakika issue ya mbowe iwe na ukweli au la Mama alitakiwa kulikwepa hilo swali kwamba ameviachia vyombo husika.
Maelezo aliyotoa yataongeza chuki na taharuki.
 
Wasiwasi wangu nikwamba zisije zikaletwa evidence zakupikwa kama zile tuzoambiwa mapapai yana Corona
Mungu wa kwetu wote, ana wivu mkubwa mno KWA watenda haki, hatowaacha, yeye ni taa na nuru, katika giza ,


Hatatuacha, atatenda KWa wakati,saa na dakika, IMEKUA, na ndivyo ilivyo,

TUTAVUKA NA ATATUVUSHA,
 
Sauti ya mtu aliae nyikani natamani wangekusoma na kukuelewa.
 
Huyo mama yenu anajichanganya tu .

Yeye na watu wake wanakurupuka

Kwakuwa mashtaka yao ni kubambikizia na kutunga hawatafanikiwa.

Ukweli utajitenga na uongo haki itatawala

Na madhalimu watalipa sawa sawia na matendo yao
 
Bi mkubwa anaongelea MAZITO YA NCHI kwa WEPESI SANA, sijui washauri wake wanamshauri nini, anaongea maneno mengi ya uongo, UWEZO wa rais ni MDOGO kuongoza nchi, hili linaonekana wazi tuu.

Tunahitaji" KATIBA MPYA" hili kuepuka mambo kama hay
Yaani anaongea Mambo mazito kana kwamba no stori za kishosti .

Aisee hii nchi imepatikana

Lakini Mimi namlaumu Sana mkwere basi tu aisee haya majanga yote tunayopitia Kama nchi Ana mkono wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…