Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

Ni aibu na ulimbukeni kwa rais kufanya interview na foreign media wakati TBC wapo.
 
Huyu mama viatu vya urais vimempwaya sana na ameharibia wanawake wengine kutoaminiana tena kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi
 
Ndio
 
kinyonga agundulika rangi yake.
 
'" Askari wetu huwa awakosei shabaha"
"Lisu alijipiga mwenyewe risasi"
Unaweza muamini vipi mtu aliyetamka haya.
 
Kama umemsikiliza akihojiwa na salim kikeke hajashindwa swali hata moja, kikete kaishia kutingisha tu kichwa cha kukubali kwa kila swali.

Hapa ni kwamba yale mafisi yatakosa pa kushikia, kama yalipanga angefeli basi imekula kwao...
Kweli hajahindwa kujibu swali. Ila hapa hatujadili tuu amejibu swali au hakujibu. Tunachambua (critical analysis) majibu yake kama yametosheleza, ni ya kweli, au ni ya kisiasa au hadaa tuu. Rais mzima kusema Mbowe alijificha Nairobi, (nuts must be loose in the skull?) Hivi hatuna uhusiano na Kenya kushughulikia uhalifu (in this case ugaidi)? Hatuna ushirikiano na Interpol? Mbowe hakuwa mara nyingi mitaan Dar, Kilimanjaro na maeneo mengine hapa nchini? Hata kwenye msiba wa ndugu yake, ambao ulitangazwa Sana polisi hawakumuona? Eti alijificha Nairobi!
 
Mama kama amerikoroga.....TISS wamemtisha sasa anafuata watakavyo

Noma sana ,mambo yaliyopo mahakamani anayuzungumza live kwenye chombo kikubwa kabisa bila wasiwasi.

"Teeth" wapo kimaslahi tu yao ya kupiga fedha na wanapiga "kweri kweri".
 
Nikukumbushe tu, CCM KAMWE HAIWEZI TENGENEZA MAZINGIRA MAZURI YA UPINZANI KUCHUKUA NCHI. KAMWEE. TAFUTENI NAMNA INGINE. HATA AKIRUHUSU KATIBA MPYA HAITAKUWA NA VIPENGELE VYA KURAHISISHA UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
 
Mimi nimepata majibu japo hatuombei iwe hivyo Mbowe hatorejea hivi karibuni uraiani, Chadema wajiandae kisaikolojia maana dialogue za kichama ni mpaka karibu n uchaguzi ndio zimeruhusiwa 2025.

Katibu kiongozi anapaswa kuongeza kasi ya utawala wa wasaidizi wafanye kazi yao ipasavyo kwani Mama anakuja na taarifa hafifu kama takwimu za ukuaji wa uchumi, vipengele vya sheria mama angefunika interview kwa kusema labda sheria yetu ya uchaguzi caps fulani inasema hakuna mikutano wala mijumuiko ya wananchama wa chama fulani na jezi zao.

Mama anagetumia pia platform ile kuelezea maendeleo ya miradi mikubwa ya mkakati, hali ya demokrasia, mipango ya muda mrefu ya afya kwa wananchi ikiwemo na uviko kwani mfano kupima uviko ni bei juu huku chanjo bure na mara akastuka akasema wasiwasi wake chanjo itakuwa haitoshi, chanjo serikali inagharamia mpaka lini na kama inakopa itakopa chanjo mpaka lini. Ajira zinapatiakanaje ilihali tozo zinazidi kuongezeka.
 
Nikukumbushe tu, CCM KAMWE HAIWEZI TENGENEZA MAZINGIRA MAZURI YA UPINZANI KUCHUKUA NCHI. KAMWEE. TAFUTENI NAMNA INGINE. HATA AKIRUHUSU KATIBA MPYA HAITAKUWA NA VIPENGELE VYA KURAHISISHA UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
Huu uharo una uhusiano gani na nilichoandika!
 
Huu uharo una uhusiano gani na nilichoandika!
"Kweli hajahindwa kujibu swali. Ila hapa" hatujadili tuu amejibu swali au hakujibu. Tunachambua (critical analysis).

Hayo hapo juu ni maneno yako, huo uharo unakuonyesha iwapo Mbowe kakamatwa kisiasa ni kwa sababu anafanya jambo hatarishi kwa utawala wa ccm.

NIKUKUMBUSHE TU KUWA UNA MDOMO MCHAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…