Gamondi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2024
- 227
- 374
tafuta pesa brooHuyu fisadi anapataje airtime kwenye media
Huyu ni wa kupiga Pini kutoka hata nje ya Tanzania sema tu nchi yetu vyombo vya usalama vimekufa!!
tafuta pesa brooHuyu fisadi anapataje airtime kwenye media
Huyu ni wa kupiga Pini kutoka hata nje ya Tanzania sema tu nchi yetu vyombo vya usalama vimekufa!!
Tatizo wengi mna chuki zisizo na mashiko,Uko na very very very pooooorr analytical skills asee
Vijana wanaroho za kimaskini sanatafuta pesa broo
Wewe ni independent thinker.Binafsi nmemwelewa Sana rostam,
Umaskini sio sifa, Wala ishara ya uzalendo
Khaaa! Atamtolea bastola wallah!Huyu Rostam wakutane na aloyce nyanda.
Rostam aende kwa Ondemba
Wakishamsikiliza Polepole basi akili zote zinasimama kufanya kaziRostam aziz Yuko smart Sana,
Ile interview kiukweli imenimotivate Sana,
Inabidi watz tuache roho za Kwanini,
Ifike hatua tufurahie mafanikio ta mtanzania mwenzetu, na sio kujenga chuki.
Kule atachakaaRostam aende kwa Ondemba
People don't hate rostam at all. People qn on how he gains and maintains his wealth. Usijitoe ufaham kipuuziTatizo wengi mna chuki zisizo na mashiko,
Kumchukia tajiri haiwezi kukuondolea umaskini ulionao
WaTanzania tunapaswa kubalisha Sana hii mindset
Basi kaolewe nae kama unamkubali usitusumbue..🚮Nilichogundua,
Rostam aziz ni mtu humble na Yuko poa Sana tofauti na wengi wanavomzungumzia,
Nilitarajia atakua na kebehi na maneno ya shombo Kama wanasiasa wetu wanavokurupuka.
Jamaa Ana vision kubwa sana ya kimaendeleo, sio TU Kwa nchi, Bali Hata Kwa uchumi WA mmoja mmoja.
Kwa wafanyabiashara WA ndani na wawekezaji WA kitanzania.
Kama kweli mlipata kumsikiliza kipind Cha uzinduzi WA dira ya taifa, pia Leo kwenye mahojiano na Tido.
Mtangundua kua,
Sekta binafsi imepata mtu poa Sana WA kutuzungumzia na kutupigania tusonge mbele.
Binafsi,
FROM THE BOTTOM OF MY HEART,
NMEMWELEWA SANA ROSTAM AZIZ🙏
Issue sio mtu kufanikiwa. Issue ni mtu kufanikiwa at the expense of others! RA is looting our country!Rostam aziz Yuko smart Sana,
Ile interview kiukweli imenimotivate Sana,
Inabidi watz tuache roho za Kwanini,
Ifike hatua tufurahie mafanikio ta mtanzania mwenzetu, na sio kujenga chuki.
Mkuu kuna kutekwa,unafikiri Tido hajui unachosema ,anajua sana!!Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo ya kisanii (full staged), yaani Tido Mhando 'ametumika' kufanya coverage, maswali yaliandaliwa na majibu yakaandaliwa na wahusika walifanya mazoezi ya pamoja ya mahojiano, ushahidi ni huu hapa.
1. Mahojiano hayakuwa live na yalikuwa na vipande vingi vilivyokatwa katwa na kuungwa ungwa kiufundi baada ya kuhaririwa kabla ya kurushwa hewani.
2. Maswali yote Tido alikuwa akiyasoma kwa mtitiriko kutoka kwenye notebook yake na Rostam alikuwa akiyajibu kwa mtiririko huku akionyesha kama anayajua maswali yote na mtiririko wake.
3. Kuna maswali kadhaa hayakuwa relevant kabisa na lengo la mahojiano yale lakini yaliulizwa kimakusudi ili kumpa Rostam public sympathy and positive attention (kwa mfano suala la bima ya Afya, utoaji misaada kwa jamii nk).
4. Katika maswali yote ya msingi ambayo Tido aliuliza hakuna hata swali moja Tido aliamua kumbananisha Rostam katika kona ya kumchimba. Yaani jibu la msingi la Rostam lilishindwa kuzaa swali la kukera kutoka kwa Tido Mhando. Kwa kifupi kabisa, Tido Mhando alilidhishwa na kila jibu la Rostam katika swali la msingi.
5. Kuna maswali mengi sana ya kimsingi ambayo Tido alikwepa kabisa kumuuliza Rostam Aziz. Ni kama vile Rostam alitaka kuulizwa yale maswali ambayo angependa tu kuulizwa na sio vinginevyo. Kwa mfano, utata wa kifo cha Magu nk.
NOTE:
Kwa wataalamu wa tasnia ya uandishi wa habari wakichunguza haya mahojiano wanaweza kumtazama Tido kama mwandishi asiyekuwa na chembe ya sifa za uandishi wowote wa habari ukiwa utamlinganisha na mwanafunzi yoyote wa ngazi ya cheti aliyejiunga na chuo cha uandishi wa habari na kukaa darasani nusu mwezi kujifunza uandishi wa habari. It was a poor interview!
Wewe ni independent thinker.
Watz wengi ni bendera fuata upepo
Marehem mengi quotationFISADI PAPA
Umelipwa bei gani?Nilivomskiliza ROSTAM,
Kwa jicho na kimaendeleo,
Rostam ndo wale marafiki uwa napenda Sana kua nao karibu, kuwaskiliza wakizungumza
Ndo Wale marafiki ambao wakizungumza, unaona kabisa uyu jamaa ni smart, Ana vision Kali ya fursa , na ana kiu Kali SANA ya kukua kiuchumi na kwenda mbali Sana kimaendeleo.
Pia ni mtu anaetaka tufanikiwe wote.
Ishu ni ROSTAM kufanikiwa?Issue sio mtu kufanikiwa. Issue ni mtu kufanikiwa at the expense of others! RA is looting our country!