Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

Basi kaolewe nae kama unamkubali usitusumbue..🚮
 
Mkuu kuna kutekwa,unafikiri Tido hajui unachosema ,anajua sana!!
 
Wewe ni independent thinker.

Watz wengi ni bendera fuata upepo

Nilivomskiliza ROSTAM,
Kwa jicho na kimaendeleo,

Rostam ndo wale marafiki uwa napenda Sana kua nao karibu, kuwaskiliza wakizungumza

Ndo Wale marafiki ambao wakizungumza, unaona kabisa uyu jamaa ni smart, Ana vision Kali ya fursa , na ana kiu Kali SANA ya kukua kiuchumi na kwenda mbali Sana kimaendeleo.

Pia ni mtu anaetaka tufanikiwe wote.
 
Umelipwa bei gani?
 
Sasa mtandao unakufaje baada ya uchaguzi?? Ametuokota hapo tu. Ila emeleza vizur vitu vingi
 
Issue sio mtu kufanikiwa. Issue ni mtu kufanikiwa at the expense of others! RA is looting our country!
Ishu ni ROSTAM kufanikiwa?

au ishu ni ROSTAM kufuja rasilimali za nchi?

Mbona wazungu wamenufaika na rasilimali zetu na hamjapiga KELELE?

Au ni dhambi mtanzania kumiliki migodi na biashara kubwa kubwa nchini?

Sasa sote tukiwa maskini,
Ni nani atamsaidia mwenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…