Utapangiwa sana tuu kama vijana wa kileo hamna mnachowaza zaidi ya wasanii mtaisoma tuuHuwa sipangiwi kitu cha kufanya.
Ninaweza kuelewa pia kwakua hata akina kingwendu ni mkubwa sanaa kwanguUnaujua umri wangu?
Nikikuambia mimi ni baba yako utakubali au nikisema mimi ni mume wa mama yako ndio utaelewa.
kusema sioni video ndo unaniunganisha kwenye majibu makali kama hayaUnaujua umri wangu?
Nikikuambia mimi ni baba yako utakubali au nikisema mimi ni mume wa mama yako ndio utaelewa.
Ametoa michango mingi sana ila kwa uchache amekua chachu ya kuongoza harakati za mabadiliko hapa nchiniLema ametoa mchango gani kwa taifa hili??
imeondoka na mwendokasihiyo video iko wapi?
Hauoni mchango wake kwenye media, kutuhabarisha na kwenye entertainment kama BSS.anamchango gani ktk maendeleo ya taifa?
ukitoa kuchangia kodi ktk matumizi yake, na kuwaita watu mashuhuri ktk kpindi cha mikasi... na shombo zake ktk bss.
Jamani nielimishe, celebrities ni nini?Ni vizuri ungeongelea kipindi cha dakika45 itv alivohojiwa mbunge wa arusha mjini lema kuliko kuongelea hawa celebrities kila kukicha.
Google mkuuJamani nielimishe, celebrities ni nini?
Unaujua umri wangu?
Nikikuambia mimi ni baba yako utakubali au nikisema mimi ni mume wa mama yako ndio utaelewa.
Na Mungu atampa aombachoMwomba Mungu hachoki