Mahojiano ya Salama Jabir na mtangazaji wa BBC, Uingereza jana

Mahojiano ya Salama Jabir na mtangazaji wa BBC, Uingereza jana

Sijui nani kavuruga uzi huu...!??
 
Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
wewe ni sawa na mm, sijawahi kupanda ndege.
Kuna siku niliota nimepanda ndege na ikawa kama live hivi, yaani siyo ndoto.
Aisee nilifurahi sana kwa kujua nimeshaacha pengo kwa washamba, nilivyoshituka nilisijitika sana.
 
Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
Hahahaaaa.....dah nimecheka sana ...anyway usijali cha muhimu ni afya na uzima utakuja kuzipanda ndege mpaka uzichoke.
 
Back
Top Bottom