Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nani kavuruga uzi huu...!??
wewe ni sawa na mm, sijawahi kupanda ndege.Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
Hahahaaaa.....dah nimecheka sana ...anyway usijali cha muhimu ni afya na uzima utakuja kuzipanda ndege mpaka uzichoke.Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu