Mahojiano ya Salama Jabir na mtangazaji wa BBC, Uingereza jana

Mahojiano ya Salama Jabir na mtangazaji wa BBC, Uingereza jana

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
13-2-723x334.png

Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi anavyoendesha shughuli zake.

Video: Mtazame hapa akihojiwa na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus.
 
anamchango gani ktk maendeleo ya taifa?

ukitoa kuchangia kodi ktk matumizi yake, na kuwaita watu mashuhuri ktk kpindi cha mikasi... na shombo zake ktk bss.
Hauoni mchango wake kwenye media, kutuhabarisha na kwenye entertainment kama BSS.
 
mkuu.

heshima haiuzwi! hivyo haina thaman
Maneno haya ni nukuu toka kwa Baba wa Taifa Mwl.Nyerere..alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa Embakasi Nairobi mika ya nyuma.
 
Back
Top Bottom