Mahojiano ya Salama Jabir na mtangazaji wa BBC, Uingereza jana

Unaujua umri wangu?
Nikikuambia mimi ni baba yako utakubali au nikisema mimi ni mume wa mama yako ndio utaelewa.

Kwani wewe unajua umri wake? Akikuambia yeye ni babu yako utakubali au akisema ydye ni mume wa bibi yako ndio utaelewa?
 
Huu uzi bhana nimecheka sana! Ndani ya uzi mmoja kuna thread zaidi ya mbili
 
mimi namkubari sana nadhani anaongoza kwa kuongoza vizuri interview....yupo vizuri sana milladiayo ajifunze kupitia huyu dada
 
Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu

visa ya Uingereza inazengua sana, jichange ukiweka mambo sawa nenda SA ukasuuze macho, tena usitake makubwa hata kwa basi unafika.
 

Kwa niaba ya washabiki wa Salama Jabir toka enzi zile Planet Bongo mpaka sasa Mkasi, naomba hii thread uianzishe upya maana imechakachuliwa sana.

Naona Salama kaamua kuongea Kiunguja, noma sana huyu dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…