Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaujua umri wangu?
Nikikuambia mimi ni baba yako utakubali au nikisema mimi ni mume wa mama yako ndio utaelewa.
![]()
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi anavyoendesha shughuli zake.
Video: Mtazame hapa akihojiwa na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus.
Utapangiwa sana tuu kama vijana wa kileo hamna mnachowaza zaidi ya wasanii mtaisoma tuu
Bora ww ata kwenda mbeya. Mi natamani nipande ndege kutoka tegeta hadi k/koo tu.Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
mfukonihiyo video iko wapi?
unatumia huawei Y ngapi mkuumbona sioni video
kwa hiyo avatar yako na usahau tu kupanda ndege labda utapanda za kwetu sumbawangaAlienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
Avatar au id?kwa hiyo avatar yako na usahau tu kupanda ndege labda utapanda za kwetu sumbawanga
id mkuu,sorryAvatar au id?
Alienda uingereza?, mweeee sijui mimi nitakwenda lini ulaya, yaani natamani kupanda ndege, hata ya kwenda mbeya tu
private issues-call her-+255777790Hivi Salama ane mume?
Mimi nataka kupanda ndegevisa ya Uingereza inazengua sana, jichange ukiweka mambo sawa nenda SA ukasuuze macho, tena usitake makubwa hata kwa basi unafika.
Ah ok, jichange tu lakini SA ni rahisi kuliko UK.Mimi nataka kupanda ndege
Ok mkuuAh ok, jichange tu lakini SA ni rahisi kuliko UK.
private issues-call her-+255777790
![]()
Mwanzilishi mwenza na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir jana alifanya mahojiano na kitua cha televisheni cha nchini Uingereza, BBC na kuelezea namna alivyoweza kujiajiri na jinsi anavyoendesha shughuli zake.
Video: Mtazame hapa akihojiwa na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus.