Mahojiano ya Suleiman Bungara "Bwege" kuhusiana na uchaguzi wa Kenya

Alipata tatizo gani Mheshimiwa Bwege. Hata sauti yake imebadilika kidogo, mbona wakati anaenda sikuona kama alikuwa na shida
 
Amepatwa na nini kweli mbona hadi mdomo hauko sawa?
 
Mmmh! pole yake,kama aliugua hadi mdomo kuonekana umepinda.
 
Maskini Bwege naona minor stroke ilimkaba.
 
Back
Top Bottom