Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Ahad zenu si za kuzingatiaMkuu taaluma hainiruhusu.
Ila nashusha vitu so soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahad zenu si za kuzingatiaMkuu taaluma hainiruhusu.
Ila nashusha vitu so soon
Wa luba huwa wananifurahishaga na vile vikundi vyaoHao ni wa mbuyi mayi na wabangu bangu na waluba.
Ndio michezo yao
Yeah wanaenda front line wanakata mauno na hiriziWa luba huwa wananifurahishaga na vile vikundi vyao
Hahahahaha,kwa ulozi ndio wenyeweYeah wanaenda front line wanakata mauno na hirizi
Umechelewa sana mleta uzi anamalizia Telegram, tuko episode ya 20, tuma buku mbili uungweNaweka ngeta hapa japo nimechelewa sana
Umechelewa sana mleta uzi anamalizia Telegram, tuko episode ya 20, tuma buku mbili uungwe
Hapana nilikua namalizia uzi wangu wa risasi sio suluhisho 1996..Tobaaaaa,kumbe ndio hivyo
Hapana nilikua pia namalizia uzi wangu wa risasi sio suluhisho 1996.Umechelewa sana mleta uzi anamalizia Telegram, tuko episode ya 20, tuma buku mbili uungwe
Mda si mrefu naweka vitu.Naweka ngeta hapa japo nimechelewa sana
Achana na hizo za "muda si mrefu/soon naweka" kula buyu tu kimyakimyaMda si mrefu naweka vitu.
Lakini usome uzi wangu mwingine wa risasi sio suluhisho 1996
Ulishaweka muendelezo au soon utaweka???Mda si mrefu naweka vitu.
Lakini usome uzi wangu mwingine wa risasi sio suluhisho 1996
Kacheki mkuuUlishaweka muendelezo au soon utaweka???
Nilishasahau niliukuta jukwaa gan huo uzi hebu nikumbusheKacheki mkuu
Andika tu risasi sio suluhisho 1996Nilishasahau niliukuta jukwaa gan huo uzi hebu nikumbushe
SawaUcjali mkuu ni true story
Nilishasahau niliukuta jukwaa gan huo uzi hebu nikumbushe
YeahRisasi sio suluhisho (kumbukumbu zangu 1996)
Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri kiswahili kuliko awali"". Mpigaji alikuja na ofa na akaiweka wazi kwa mlengwa namaanisha mpigiwaji...www.google.com
Ahsante BrazaRisasi sio suluhisho (kumbukumbu zangu 1996)