Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao MO wengine hawana Blog mwenye blog ni MO mmoja tuu Dewji...."check"....
Mmh huko kwingine sina comment....mmh so yeye kusema amezaliwa Brooklyn imekuumiza roho au?...maana January alisema amekulia kijijini watu mkampiga dongo kuwa kukulia kijijini siyo sofa haya RM anasema amezaliwa Brooklyn watu nako mnaona Hatari!...sasa afanyeje jamani na pia hakumbuki ni watu wangapi amesaidia so far ili kutoumiza wengine kaona ni heri asiwataje majina wale wachache ikabidi ajibu ki uwingi...jaribu ku understand kidogo mtu ana maana gani...
Na huyo aliye-mu-interview siyo Mo mwenyewe ana assistant wake mmoja huwa ana-interview watu mbali mbali...na huwezi kumfananisha na Larry king larry nimkongwe na hawa wameanza juzi mpe time.....
Mona anajichanganya?Anasema tatizo la Watanzania wanalalamika sana.Then anasema tunaridhika sana/tunaridhika mapema.Hivi ulalamishi si ni dalili ya kutoridhika?
Nani kakwambia mimi nina roho? By now you should know better than that.
Mimi naamini kama Tina Turner katika "What's Love gotta do with it"
Who needs a heart when a heart can be broken?
Ninaongea metaphoric hapa, ni lazima uelewe role ya similes na metaphors katika lugha.Ninaposema kwamba hii blog inatumika kama sounding board ya watu kusema "nimezaliwa Brooklyn" sina maana kwamba naongelea hicho tu.Naongelea kikubwa zaidi ya hicho.Naongelea kwamba hii blog haina kazi muhimu zaidi ya kuwakuza watu tu, watu wanatengeneza ki network cha washkaji.Ukichunguza watu wote wanaokuja kuwa interviewed wanatoa bio, nothing critical is asked. Nobody is asking about the role of Clouds katika ku destabilize culture Tanzania, Mo hawezi kuuliza swali hilo kwa sababu he is not interested in asking hard questions and critical thought. He is only interested in his own self promotion pamoja na ku promote rafiki zake.
Amegombea ubunge, anatoa mihela huku na kule, kagundua kuwa mbunge tajiri bongo ni almost the same as being jobless, nothing is challenging him, sasa nakaa kwenye kujenga network kwa fluff.
Nionyeshe wewe mbunge una vision, wahoji policymakers on policy issues.mwite Mkwakyembe hapo muweke kiti moto, sio unatuletea self promo.Afadhali hata self promo zenyewe zingekuwa zinaeleweka. Some answers are almost monosyllabic, media mogul indeed!
Najua Mo Dewji, najua ana blog. Lakini pia kuna Mo Ibrahim na Mo Mfutakamba etc.
Nimeuliza kwa sababu sikuamini kwamba Tanzania mbunge anamuinterview media mogul an interesting reversal of roles to say the very least. The interview questions are mainly fluff, media mogul anatoa majibu fluffier than fluff, watu wanaimba ngonjera na sifa kwa bwana.
Hata kama mbunge angetaka kujitetea kwamba anawakilisha interests za watanzania kwa interview za aina hii hawezi. .
Mbunge huyu anafurahisha sana. Amemzidi hata Larry King kwenye u-Larry King.
Hiki ki-blog ni sehemu ya watu kujikoki tu, na kuijulisha dunia "nilizaliwa Brooklyn" na wengine "nilipelekwa kijijini kwa bibi", nothing substantive.
Mtu anaulizwa umemsaidia nani bila haya unasema nimesaidia industry nzima? umekuwa 2Pac au Jay-Z? Maana hawa mabingwa ndio wanajulikana kwa kutengeneza reality zao wenyewe na kuishi nazo, angalau wao wanaweza kusema wanauza image, humu bwana anaonekana hubristic tu kwa kusema hivyo.
As if that is not enough, alipoulizwa profession yako ni nini
Jamaa anaelewa maana ya profession lakini? Hata kama anaongelea deals anazofanya, kwa hiyo hata mdude unauza?
Kaulimtu!
Ndiyo haya haya ya culture of mediocrity na wallowing in a perpetual sea of impreciseness.
SWALI: Profesheni yako ni nini?
RUGE: I cut across everything! Kifupi just call me mjasiriamali.
SWALI: Ukipewa nafasi ya kuongea na watanzania wote kwa ujumla, je una ujumbe gani ungewapatia?
RUGE: Wanalalamika sana as if wao ndio taifa lililolaaniwa kuliko yote. Ukiangalia hakuna taifa lenye freedom na nafasi ya kupata support kama Tanzania kwa sababu ya amani, abundance of resources, always, there's an opportunity ya kila kitu. Tatizo tunaridhika sana, sasa hebu angalia Distributors wa muziki ni wawili tu. Tumeridhika mapema sana, tuache kuridhika.
SWALI: Umechangia katika mafanikio ya watu wangapi hadi sasa? Wataje?
RUGE: Indirectly, nimechangia mafanikio ya watu wote kwenye sector yangu.
Unazungumzia vijana kubadilika bila kutaja namna ambavyo unataka tubadilike. Tuache kulima tujishughulishe na muziki? Tuanze kutoka na mademu tofauti tofauti kama wewe? Very vague, ungeweza kutumia nafasi hii kutoa ushauri wa maana kwa vijana lakini badala yake unaona kusema 'tubadilike' na kuleta ratios zako zisizo kichwa wala miguu is enough.SWALI: Kama una neno lolote la mwisho kwa vijana wa kitanzania?
RUGE: Ni muda wa vijana sasa kubadilika kwa kuwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana, it's the same ratio uki-compare na nchi nyingine zilizoendelea. Dunia imebadilika sasa na sisi tubadilike.
They accusing you of swagger jacking Jeru The Damaja in the other thread.
Which other thread? I predicted that shish, like Jeru predicted 911.
Ushamsikiliza vizuri Jeru katika "The Sun Rises in the East" (1994)
![]()
Halafu huyu Mo ni mbunge au blogger? Mbunge gani anapata muda wa kublogu?