Mahojiao ya Ruge Mutahaba na MO'S Blog

Mahojiao ya Ruge Mutahaba na MO'S Blog

Mona anajichanganya?Anasema tatizo la Watanzania wanalalamika sana.Then anasema tunaridhika sana/tunaridhika mapema.Hivi ulalamishi si ni dalili ya kutoridhika?
 
Hao MO wengine hawana Blog mwenye blog ni MO mmoja tuu Dewji...."check"....

Mmh huko kwingine sina comment....mmh so yeye kusema amezaliwa Brooklyn imekuumiza roho au?...maana January alisema amekulia kijijini watu mkampiga dongo kuwa kukulia kijijini siyo sofa haya RM anasema amezaliwa Brooklyn watu nako mnaona Hatari!...sasa afanyeje jamani na pia hakumbuki ni watu wangapi amesaidia so far ili kutoumiza wengine kaona ni heri asiwataje majina wale wachache ikabidi ajibu ki uwingi...jaribu ku understand kidogo mtu ana maana gani...

Na huyo aliye-mu-interview siyo Mo mwenyewe ana assistant wake mmoja huwa ana-interview watu mbali mbali...na huwezi kumfananisha na Larry king larry nimkongwe na hawa wameanza juzi mpe time.....

Nani kakwambia mimi nina roho? By now you should know better than that.

Mimi naamini kama Tina Turner katika "What's Love gotta do with it"

Who needs a heart when a heart can be broken?

Ninaongea metaphoric hapa, ni lazima uelewe role ya similes na metaphors katika lugha.Ninaposema kwamba hii blog inatumika kama sounding board ya watu kusema "nimezaliwa Brooklyn" sina maana kwamba naongelea hicho tu.Naongelea kikubwa zaidi ya hicho.Naongelea kwamba hii blog haina kazi muhimu zaidi ya kuwakuza watu tu, watu wanatengeneza ki network cha washkaji.Ukichunguza watu wote wanaokuja kuwa interviewed wanatoa bio, nothing critical is asked. Nobody is asking about the role of Clouds katika ku destabilize culture Tanzania, Mo hawezi kuuliza swali hilo kwa sababu he is not interested in asking hard questions and critical thought. He is only interested in his own self promotion pamoja na ku promote rafiki zake.

Amegombea ubunge, anatoa mihela huku na kule, kagundua kuwa mbunge tajiri bongo ni almost the same as being jobless, nothing is challenging him, sasa nakaa kwenye kujenga network kwa fluff.

Nionyeshe wewe mbunge una vision, wahoji policymakers on policy issues.mwite Mkwakyembe hapo muweke kiti moto, sio unatuletea self promo.Afadhali hata self promo zenyewe zingekuwa zinaeleweka. Some answers are almost monosyllabic, media mogul indeed!
 
Mona anajichanganya?Anasema tatizo la Watanzania wanalalamika sana.Then anasema tunaridhika sana/tunaridhika mapema.Hivi ulalamishi si ni dalili ya kutoridhika?

Mi nakwambia kule uswahilini kwetu akikutana na watu wana hasira zao halafu wakaambiwa huyu ndiye blazameni aliyesema tatizo la Watanzania wanalalamika sana wanaweza kumgombea.

Yaani bongo kuna watu wanasema some incendiary comments of at the level of "let them eat cake" lakini hamna outrage.

Mtu anayefikiri akiasoma hii interview ataona upupu mtupu, pwagu na Pwaguzi.
 
Silence is the best answer, blah blah is the opposite. Ruge ana bahati wasanii wengi wa muziki wahajasoma hii interview yake. Kilio alichowaliza, loh no wonder "Indirectly, nimechangia mafanikio ya watu wote kwenye sector yangu".
 
Nani kakwambia mimi nina roho? By now you should know better than that.

Mimi naamini kama Tina Turner katika "What's Love gotta do with it"

Who needs a heart when a heart can be broken?

Ninaongea metaphoric hapa, ni lazima uelewe role ya similes na metaphors katika lugha.Ninaposema kwamba hii blog inatumika kama sounding board ya watu kusema "nimezaliwa Brooklyn" sina maana kwamba naongelea hicho tu.Naongelea kikubwa zaidi ya hicho.Naongelea kwamba hii blog haina kazi muhimu zaidi ya kuwakuza watu tu, watu wanatengeneza ki network cha washkaji.Ukichunguza watu wote wanaokuja kuwa interviewed wanatoa bio, nothing critical is asked. Nobody is asking about the role of Clouds katika ku destabilize culture Tanzania, Mo hawezi kuuliza swali hilo kwa sababu he is not interested in asking hard questions and critical thought. He is only interested in his own self promotion pamoja na ku promote rafiki zake.

Amegombea ubunge, anatoa mihela huku na kule, kagundua kuwa mbunge tajiri bongo ni almost the same as being jobless, nothing is challenging him, sasa nakaa kwenye kujenga network kwa fluff.

Nionyeshe wewe mbunge una vision, wahoji policymakers on policy issues.mwite Mkwakyembe hapo muweke kiti moto, sio unatuletea self promo.Afadhali hata self promo zenyewe zingekuwa zinaeleweka. Some answers are almost monosyllabic, media mogul indeed!

They accusing you of swagger jacking Jeru The Damaja in the other thread.
 
Najua Mo Dewji, najua ana blog. Lakini pia kuna Mo Ibrahim na Mo Mfutakamba etc.

Nimeuliza kwa sababu sikuamini kwamba Tanzania mbunge anamuinterview media mogul an interesting reversal of roles to say the very least. The interview questions are mainly fluff, media mogul anatoa majibu fluffier than fluff, watu wanaimba ngonjera na sifa kwa bwana.

Hata kama mbunge angetaka kujitetea kwamba anawakilisha interests za watanzania kwa interview za aina hii hawezi. .

Mbunge huyu anafurahisha sana. Amemzidi hata Larry King kwenye u-Larry King.

Hiki ki-blog ni sehemu ya watu kujikoki tu, na kuijulisha dunia "nilizaliwa Brooklyn" na wengine "nilipelekwa kijijini kwa bibi", nothing substantive.

Mtu anaulizwa umemsaidia nani bila haya unasema nimesaidia industry nzima? umekuwa 2Pac au Jay-Z? Maana hawa mabingwa ndio wanajulikana kwa kutengeneza reality zao wenyewe na kuishi nazo, angalau wao wanaweza kusema wanauza image, humu bwana anaonekana hubristic tu kwa kusema hivyo.

As if that is not enough, alipoulizwa profession yako ni nini

Jamaa anaelewa maana ya profession lakini? Hata kama anaongelea deals anazofanya, kwa hiyo hata mdude unauza?

Kaulimtu!

Ndiyo haya haya ya culture of mediocrity na wallowing in a perpetual sea of impreciseness.

It's a brooklyn thing! Bluray, wewe unaweza kuwa kama mimi, tunaelewa power of humility. Lakini in the western culture, ambayo huyu jamaa anaweza akawa anaji-identify nayo kwa kiasi fulani, humility mara nyingi inaonekana ni sign of weakness. With that being said, naomba nipoint out tu kwamba I like that guy, anaonekana anajituma kwa return ndogo.

Nikijaribu kuingia kwenye kichwa chake naweza kusema labda alitoa jibu hilo la kuwasaidia wasanii wote kwa sababu anaona chombo kama Clouds FM kipo kwa ajili yao kuwafanya kazi zao zisikike, kwa hiyo in essence amewasaida 'wote'. Hata hiyo ni vague kwa sababu kwanza siyo kwamba wasanii wote wa tanzania wamewahi kusikika clouds, lakini I guess it is a well-intentioned response.....
 
SWALI: Profesheni yako ni nini?
RUGE: I cut across everything! Kifupi just call me mjasiriamali.

This is absolutely impossible! Rubbish!! Hakuna mtu anayeweza ku 'cut across everything' in terms of profession. Labda Ruge hajui maana ya hili neno au anataka tu kujifagilia kwa wajingajinga. Unapozungumzia Profession naamini unahitaji kuwa na some kind of training na pengine formal qualifications, sasa anataka kumdanganya nani hapa? Hata Tumtemeke Sanga ambaye alikuwa na madigrii kibao?? hawezi toa jibu kama hili hakyanani!

SWALI: Ukipewa nafasi ya kuongea na watanzania wote kwa ujumla, je una ujumbe gani ungewapatia?
RUGE: Wanalalamika sana as if wao ndio taifa lililolaaniwa kuliko yote. Ukiangalia hakuna taifa lenye freedom na nafasi ya kupata support kama Tanzania kwa sababu ya amani, abundance of resources, always, there's an opportunity ya kila kitu. Tatizo tunaridhika sana, sasa hebu angalia Distributors wa muziki ni wawili tu. Tumeridhika mapema sana, tuache kuridhika.

Sio siri hili jibu limenikera. Naona huyu jamaa anamuweka kila mtanzania kwenye position aliyopo yeye na hajui tofauti ya kuridhika na kukata tamaa. Halafu mbona unaongelea watanzania as 'wao' na sio 'sisi', kwani wewe sio mtanzania? Watanzania wengi tumechoka, tumekata tamaa. Hivi wewe Ruge umeshawahi kujenga kijibanda chako cha biashara mahali kesho yake ukienda kutafuta ridhki unakuta kimevunjwa na serekali yako? Umeshawahi kulima mazao yako ukashindwa kuyafikisha sokoni kwa kuwa barabara hazipitiki? Umeshawahi kuibiwa mali zako na watuhumiwa unaowafahamu lakini hawakamatwi kwa kuwa polisi ni washkaji zao na wanashirikia nao au wamepewa kitu kidogo? Umeshawahi kwenda hospitali na kupanga foleni kwa masaa nane ndipo unamuona Daktari na ukimuona unaambulia panadol? Support unayoizungumzia iko wapi? Mikataba yote ya kazi zinazoweza kufanywa na wazalendo inatolewa kwa makampuni ya nje. Makampuni ya wachimba madini hawataki kuwaona wachimbaji wadogo wadogo kwenye maeneo waliyowakuta, wengine wanauwawa na serekali haisemi kitu! Wachina sasa hadi kandambili wanauza.
Jamani AMANI kila siku nasema sio ukosefu wa vita tu, pale ambapo hakuna haki, hakuna pia amani. Kama mamilioni ya watu wanakufa kwa njaa, watuhumiwa wa ufisadi na wezi wa BOT hawapelekwi mbele ya sheria, hakuna amani. Kama safari ya kutoka Mwenge hadi Posta inachukua masaa mawili- hakuna amani! Kama mji mkubwa kama Dar wananchi wa kawaida hawana umeme- hii sio amani! Mamilioni ya watu wanafanya kazi miaka na miaka bila mikataba na kwa ujira wa kitoto, waajiri wanawafukuza kama mbwa siku yoyote wakijiskia...Yapo mengi tu ya kutufanya tusibweteke na neno amani kaka.
Resources na opportunities zipo nyingi- nakubali lakini mgogoro upo kwenye jinsi ambavyo zinagawanywa kaka, sisi wengi hatujulikani kwa wenye nchi kama wewe.

SWALI: Umechangia katika mafanikio ya watu wangapi hadi sasa? Wataje?
RUGE: Indirectly, nimechangia mafanikio ya watu wote kwenye sector yangu.

Tehe, tehe, very funny!! Mwanzoni umeulizwa profession yako ukasema 'you cut across everything' lakini hapa unakuwa specific zaidi na kusema neno 'sector yangu'. Sector yako ni ipi? mbona husemi?

SWALI: Kama una neno lolote la mwisho kwa vijana wa kitanzania?
RUGE: Ni muda wa vijana sasa kubadilika kwa kuwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana, it's the same ratio uki-compare na nchi nyingine zilizoendelea. Dunia imebadilika sasa na sisi tubadilike.
Unazungumzia vijana kubadilika bila kutaja namna ambavyo unataka tubadilike. Tuache kulima tujishughulishe na muziki? Tuanze kutoka na mademu tofauti tofauti kama wewe? Very vague, ungeweza kutumia nafasi hii kutoa ushauri wa maana kwa vijana lakini badala yake unaona kusema 'tubadilike' na kuleta ratios zako zisizo kichwa wala miguu is enough.

Kana-Ka-Nsungu
 
They accusing you of swagger jacking Jeru The Damaja in the other thread.

Which other thread? I predicted that shish, like Jeru predicted 911.

Ushamsikiliza vizuri Jeru katika "The Sun Rises in the East" (1994)

Jeruthedama_sunrisesi_101b.jpg
 
Which other thread? I predicted that shish, like Jeru predicted 911.

Ushamsikiliza vizuri Jeru katika "The Sun Rises in the East" (1994)

Jeruthedama_sunrisesi_101b.jpg

Thread ya Kapuya. See you already denied being him.
 
Halafu huyu Mo ni mbunge au blogger? Mbunge gani anapata muda wa kublogu?

This's what we call 'multitasking'

Viongozi wetu need to do this, they have a lot to do lakini.....uvivu umewajaa mpaka.....all they care bout' s their own tumbos.
 
KWA WASIOJUA:jaribuni kufuatilia namna RM alivyomkandamiza kimapato na kimuziki SAIDA KAROLI!hapo ndipo utakapoamini kuwa dunia hii imejaa wadhalimu
 
Back
Top Bottom