Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!! Remember today morning ulivyoshikwa na wivu, jazba na hasira...
Ikabidi nikutulize kwanza... Hadi uka calm down... Ulichukia mpaka nikaogopa lakini i did what a man gat to do... Mpaka umetulia.... Love u sana..
KakimbiaAkikujibu nishtue
Mmmmh mapenzi kikohoziii
Kusudi lako la dhati kwa mahondaw ni nini mkuu Smart911?JF Kuna challenge nyingi sana... Nimepata tabu sana kumuweka mahondaw kwenye mstari...
Humu ndani bhana watu akili zao wanazijua wenyewe.. Wengine wavurugaji tu makusudi.. Ukiwa na roho nyepesi mnagombana kila siku...
Mimi am always calm and cool...
Ndiyo maana mtu akiamua kumtongoza mahondaw hata kama anajua yupo na Smart911... Mimi i deal with mahondaw kwa njia amani...
Cc: mahondaw
Like like likeHata Wakiwa Serious Hakuna Ubaya
Jinsia Zinaruhusu
Milele aminamimi na wakubali wote wewe na Smart woteee
M/Mungu awabariki endeleen kupendana
JF Kuna challenge nyingi sana... Nimepata tabu sana kumuweka mahondaw kwenye mstari...
Humu ndani bhana watu akili zao wanazijua wenyewe.. Wengine wavurugaji tu makusudi.. Ukiwa na roho nyepesi mnagombana kila siku...
Mimi am always calm and cool...
Ndiyo maana mtu akiamua kumtongoza mahondaw hata kama anajua yupo na Smart911... Mimi i deal with mahondaw kwa njia amani...
Cc: mahondaw
Utaharibu movie...,niandike jamaan na mm nijione [emoji23]
Yeah super dear... Kwa nini nianze kugombana au kujibu mtu anayetafuta shari... What wont kill us, will make us stronger....Yeah I know you Smart911 a man of principles haha yani hufanyi kitu walaaaa
Unafuata principles zako tu hata hao waswahili wakutukane wasemeje wwalllaaaaaaaa
Ndokwanzaaa unawadharau