Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umesoma shule ya boarding utakumbuka jinsi wanafunzi walivyokua wakiishi.
Kwa hiyo akitongozwa lazima akuambie kiongozi?JF Kuna challenge nyingi sana... Nimepata tabu sana kumuweka mahondaw kwenye mstari...
Humu ndani bhana watu akili zao wanazijua wenyewe.. Wengine wavurugaji tu makusudi.. Ukiwa na roho nyepesi mnagombana kila siku...
Mimi am always calm and cool...
Ndiyo maana mtu akiamua kumtongoza mahondaw hata kama anajua yupo na Smart911... Mimi i deal with mahondaw kwa njia amani...
Cc: mahondaw
Hahahaahhahahaahahahahaha mkuu this is a long term goals. we have plansnawaaminia
hadithi hii isifike mwisho
Daaaaahhh Ndugu Umezungumzia Mambo Ya Shule za Bodi Umenikumbusha mbali sanaKama umesoma shule ya boarding utakumbuka jinsi wanafunzi walivyokua wakiishi.
Kulikua na couples mbali mbali, wambea, wachonganishi na wenye wivu, wataka sifa, watafuta Kiki, nk.
Basi sasa hivi ndivyo ninavyoiona jf, mwanzo mimi nilijua humu kila mtu anafanya yake, alafu unakula kona kumbe Kuna watu wanapata wapenzi wa kweli humu humu, Kuna wanafiki humu humu na watafuta kiki pia.
Duuuuu ebwana hatariii
Ameen.......Usishangae mkuu mambo ni bambam tuombee tu
Mahondwa umesikia mmeo anavyojinasibu hapa sasa ole wako ulete habari nyeusi atasogeza manowari zake kwenye rasi ya Miss Natafuta.
Ila usijali boarding nyingine ni jf mkuuDaaaaahhh Ndugu Umezungumzia Mambo Ya Shule za Bodi Umenikumbusha mbali sana
Mapenzi/uhusiano wenu na uheshimiwe na watu wote .
Another time remember to send copy to Shunie
Nawatakia kila la kheri katika huu uhusiano wenu uliotukuka kwa kweli
Na mwenyezi MUNGU awajalie wepesi mufikie marengo yenu MUBASHARA.
Ooh, Safi sana nashukuru wote mmetambuana na kupeana majukumu mazito huwenda ambayo wengine wasingeyaweza mikononi mwaoGod Forbid!
Raphael wa Ureno try to think something positive instead!
Why always negativity?!? Anyway what I can say is thank God for this Wonderful lucky man Smart911! I love this kijana mpaka sijielewi
hilo la kumbadilisha n kweli kabadilika sana mfike mbali smart jamaan Mungu azidi kuwapigania
Na Kweri Dom Leader Nan........??Ila usijali boarding nyingine ni jf mkuu
Tehteh very interesting mkuu Safi sanaSasa hv nitachange Id... Nitakuwa "mzee wa kungoa in action" ...Sitaki kumpa Mahondaw competition... Lakini ningekuandia leo leo tena sio kwa kiingereza... Kwa kiarabu.