Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

Status
Not open for further replies.
Hahaha!! Remember today morning ulivyoshikwa na wivu, jazba na hasira...
Ikabidi nikutulize kwanza... Hadi uka calm down... Ulichukia mpaka nikaogopa lakini i did what a man gat to do... Mpaka umetulia.... Love u sana..

Khakha asante kwakweli. ushanijua Nikifurahi nakuaje nikikasirika nakuaje. asante pia kwakua nami katika hali zote
i Lavyuuuuuuuuuuu
 
Waswahili walisema ukijua unako kwenda huwezi kupotea njia na kwenye mapenzi ukiwa na umpendae huwezi kujuta nawatakia kila la heri
 
Kusudi lako la dhati kwa mahondaw ni nini mkuu Smart911?

Nauliza tu
 

Yeah I know you Smart911 a man of principles haha yani hufanyi kitu walaaaa
Unafuata principles zako tu hata hao waswahili wakutukane wasemeje wwalllaaaaaaaa
Ndokwanzaaa unawadharau
 
Yeah I know you Smart911 a man of principles haha yani hufanyi kitu walaaaa
Unafuata principles zako tu hata hao waswahili wakutukane wasemeje wwalllaaaaaaaa
Ndokwanzaaa unawadharau
Yeah super dear... Kwa nini nianze kugombana au kujibu mtu anayetafuta shari... What wont kill us, will make us stronger....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…