Mahusiano au ndoa zenye majukumu ya kifamilia zimetulia sana

Mahusiano au ndoa zenye majukumu ya kifamilia zimetulia sana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu kama vile elimu dunia na ile ya kiroho, malazi, chakula na mavazi, ukilinganisha na zile ambazo hazina majukumu ya kutosha, amabazo mara nyingi concentrations yao kubwa inakua kwenye kufuatiliana na kuchunguzana mpaka kupekuana simu za mkononi kujua kinachoendelea.

Wenye majukumu muhimu hawana muda huo kabisa na matokeo yake kukosekana amani, furaha, upendo na maelewaba miongoni mwao ni vizuri kufanya kila liwezekanalo, na kwa bidii sana kwa walio kwenye mahusino au ndoa kujipa majukumu ya kutosha ya malezi, ili pawepo na majukumu ya kuwaunganisha zaidi na kuwafanya wamoja zaidi katika kuwahudumia watoto wenu.
 
Back
Top Bottom