Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,243
- 1,186
Maanake hata mlango nilifungua mimi...na hiyo ndo ilikuwa agano kwangu...siwez oa nisiyefungua mlango....Una bahati ya kipekee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maanake hata mlango nilifungua mimi...na hiyo ndo ilikuwa agano kwangu...siwez oa nisiyefungua mlango....Una bahati ya kipekee sana
Nami pia niliwahi kumtongoza mrembo mmoja akanikataa, hakusita kusema hanipendi! Kuanzia hapo nikaacha kutongoza tena wanachuo!! [emoji26][emoji26]Kila niliemtongoza yoyote chuo alinitolea nje nikaamua kujiongeza kama mwanaharakati nikatafuta kabint ka o-level hako kalikua kidato cha nne ndio nikawa najimegea hapo. Nilihisi ninamkosi chuo kizima