mkuu fafanua hapa kama hautojar, huenda wakanufaika wengiMkuu naomba nikufuate PM
Changamoto hayatofautiani kweliDogo ni mwalimu idara ya msingi,
majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano)
Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA.
wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea,
selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo eti nida inagoma!
Tunashangaa hata sisi, sababu inaweza kuwa ipi, wazoefu tatizo linaeza kuwa nn details zimepishana wapi
VYETI VYOTE MARIAM ELIASChangamoto hayatofautiani kweli
Hivyo wanamwambia afanyeje. Ili mambo yawe sawia.?VYETI VYOTE MARIAM ELIAS
NIDA MARIAM ELIAS MMASA
kipindi anaomba TAMISEMI mfumo wa oteas ulikubali,
lakini huku Halmashauri walipoemda kuripoti , eti namba yake ya NIDA inagoma kwenye mfumo sasa sielewi wao mfumo ukoje
Hapo angalia cheti cha kuzaliwa majina yanafanana na vyeti vya taaluma.? Maana hiyo kawaida watu wanamajina mawili kwenye vyeti afu kwa NIDA wana majina matatu.VYETI VYOTE MARIAM ELIAS
NIDA MARIAM ELIAS MMASA
kipindi anaomba TAMISEMI mfumo wa oteas ulikubali,
lakini huku Halmashauri walipoemda kuripoti , eti namba yake ya NIDA inagoma kwenye mfumo sasa sielewi wao mfumo ukoje
mkuu huwenda kuna kitu kingine labda, maana wapo walioripoti na wana majina mawili kwenye vyeti na nida matatu ila wamepokelewahao ni watu wawili tofauti... kwa msaada nenda katafute deed poll, mtafute mwanasheria akusaidie tofauti na hapo ajira umeikosa...
majina ya cheti cha kuzaliwa ni mawili na vyeti vingine mawili ila NIDA matatuHapo angalia cheti cha kuzaliwa majina yanafanana na vyeti vya taaluma.? Maana hiyo kawaida watu wanamajina mawili kwenye vyeti afu kwa NIDA wana majina matatu.
wamepokelewa kimakosa... amini ninacho kwambia...mkuu huwenda kuna kitu kingine labda, maana wapo walioripoti na wana majina mawili kwenye vyeti na nida matatu ila wamepokelewa
Au mkuu tarehe zake za kuzaliwa aliziweka kule NIDA ni tofauti na za kule kwenye cheti cha kuzaliwamajina ya cheti cha kuzaliwa ni mawili na vyeti vingine mawili ila NIDA matatu
hi pia ni virahisi ni kubadilisha cheti cha kuzaliwa tu ili tarehe ziendane na nida shida ipo kwenye majina ya nida pamoja na majina ya vyeti ivi kubadilisha ni shida vyeti havibadilishiki nida pia mlolongo wake sio wa nchi hii ila cheti cha kuzaliwa unaweza rekebisha hata majinaAu mkuu tarehe zake za kuzaliwa aliziweka kule NIDA ni tofauti na za kule kwenye cheti cha kuzaliwa
nahisi huwenda tarehe zake za kuzaliwa zilizopo NECTA ni tofaut na zilizopo nida, nahisi labda maana nida na cheti cha kuzaliwa ziko sawa, majina yako sawa, au NECTA haihusiki mkuu?Au mkuu tarehe zake za kuzaliwa aliziweka kule NIDA ni tofauti na za kule kwenye cheti cha kuzaliwa