Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

hi pia ni virahisi ni kubadilisha cheti cha kuzaliwa tu ili tarehe ziendane na nida shida ipo kwenye majina ya nida pamoja na majina ya vyeti ivi kubadilisha ni shida vyeti havibadilishiki nida pia mlolongo wake sio wa nchi hii ila cheti cha kuzaliwa unaweza rekebisha hata majina
vp kama tarehe za kuzaliwa za NIDA ni tofauti na zilizoko NECTA?
 
tarehe za necta hazihusiki kabisa kwenye mfumo wa ajira zinatambulika tarehe za nida tu ndio uthibitisho wa tarehe zako za kuzaliwa apo inshu ni majina yako tofaut hii ndio inshu kubwa kuna herufi haziko sawa kati ya nida na vyeti
na ni bora nida na vyeti vifanane ila cha kuzaliwa kiwe tofauti maana kinabadilishika kirahisi majina yaendane na vyeti na nida

labda kama mfano form four alimaliza mwaka 2015 akiwa na miaka 18 kwa mujibu wa necta hlf nida akajipunguza miaka kiasi kwamba haiwezekani mfano kwa mujibu wa nida mwaka huo huo 2015 aliomaliza form four alikua na miaka 10 yaani nida inaonyesha kazaliwa 2005 hlf form four kamaliza 2015
 
nahisi huwenda tarehe zake za kuzaliwa zilizopo NECTA ni tofaut na zilizopo nida, nahisi labda maana nida na cheti cha kuzaliwa ziko sawa, majina yako sawa, au NECTA haihusiki mkuu?
Hapo lazima kuna baadhi ya info zina kinzana
 
tarehe za necta hazihusiki kabisa kwenye mfumo wa ajira zinatambulika tarehe za nida tu ndio uthibitisho wa tarehe zako za kuzaliwa apo inshu ni majina yako tofaut hii ndio inshu kubwa kuna herufi haziko sawa kati ya nida na vyeti
na ni bora nida na vyeti vifanane ila cha kuzaliwa kiwe tofauti maana kinabadilishika kirahisi majina yaendane na vyeti na nida
dah ngoja tucheki mambo yaltaendaje, maana wanemwambia jumatatu aende ntakupa mrejesho
 
hi pia ni virahisi ni kubadilisha cheti cha kuzaliwa tu ili tarehe ziendane na nida shida ipo kwenye majina ya nida pamoja na majina ya vyeti ivi kubadilisha ni shida vyeti havibadilishiki nida pia mlolongo wake sio wa nchi hii ila cheti cha kuzaliwa unaweza rekebisha hata majina
Kuna kipindi mdgo wangu alikua anaomba mkopo chuo sasa akakosa mwaka wa kwanza na wa.pili siku moja nikamwambia hembu nione hizo document zako itakua kuna vitu haviko sawa. Kweli bwana kuangalia nikakuta majina ya wazazi yametofautiana mno kwenye herufi kama.mzazi anaitwa Joseph huku kaandika joseph kwingine josefu hapo nikamwambia hiki cheti chako cha kuzaliwa utaomba milele bila kupewa mkopo. Maana viambatamishi vya wazazi majina mfano tutumie la joseph yy kaandika kwenye vyetj vya kuzaliwa josefu kama ni la.mama kaandika JULIETI badala ya JULIETH kama inavyosomeka kwenye kadi za nida au kadi ya mpiga kura zile aisew akabadilisha mbona alipata. Hapo aangalie vzr kuna document zinatofautiana maelezo. Majina mawili na matato mbona watu wanatumia hayo kazini mpaka kesho
 
muafi nakushauri unapohitaji kuomba msaada humu Jamvi jitahidi kutioa taarifa sahihi na uwe umejiridhisha mno kuliko kuja na taarifa nusu nusu kumbuka JF ina kila aina ya Watu wakiwemo hao hao wa halimshauri mbali mbali na walioko kwenye hizo NIDA au RITA haiwezekani from no where mtu akataliwe na wewe umeshindwa kujiridhisha kwa kuangali kitu gani kinaweza kuwa ni shida au nikuulize wewe unaelimu Gani ya kusoma vizuri herufi na utambuzi wa majina kwa silabi zake. Muda mwingine tukisema Watanzania ni wavivu mtasema mnatukanwa
 
namba yake inagoma kwenye mfumo, akituma tena inagoma, wamemwambia jumatatu aende
mkuu chunguza majina vya vyeti hlf chukua nida yake kama anayo chunguza majina vizuri kama ana namba za nida ingiza kwenye mfumo wa brela itakuja majina chunguza kwa umakini ukikuta mariam vyeti nida mariamu basi kosa ni hilo
 
muafi nakushauri unapohitaji kuomba msaada humu Jamvi jitahidi kutioa taarifa sahihi na uwe umejiridhisha mno kuliko kuja na taarifa nusu nusu kumbuka JF ina kila aina ya Watu wakiwemo hao hao wa halimshauri mbali mbali na walioko kwenye hizo NIDA au RITA haiwezekani from no where mtu akataliwe na wewe umeshindwa kujiridhisha kwa kuangali kitu gani kinaweza kuwa ni shida au nikuulize wewe unaelimu Gani ya kusoma vizuri herufi na utambuzi wa majina kwa silabi zake. Muda mwingine tukisema Watanzania ni wavivu mtasema mnatukanwa
Mpendwa katika Bwana, Details zake ziko sawa maana hata mfumo wa OTEAS wa kuomba ajira TAMISEMI ni mimi nilimfanyia application, mimi mwenyewe nimejiuliza sana tatizo ni nini mpk nikamuuliza au labda tarehe za kuzaliwa zilizoko NIDA ni tofauti na zilizoko NECTA? maana majina yaNIDA yako similar kabisa na cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma,
mpaka nimejiuliza huwenda huyo anayejaza huko ndio anakosea au shida ni gani? sijapata jawabu mpk nimeleta kuuliza humu
 
mkuu chunguza majina vya vyeti hlf chukua nida yake kama anayo chunguza majina vizuri kama ana namba za nida ingiza kwenye mfumo wa brela itakuja majina chunguza kwa umakini ukikuta mariam vyeti nida mariamu basi kosa ni hilo
majina yake Ya nida yalikua yanatokea tulipokua tukifanya Application mfumo wa Oteas TAMISEMI yako similar
 
Mpendwa katika Bwana, Details zake ziko sawa maana hata mfumo wa OTEAS wa kuomba ajira TAMISEMI ni mimi nilimfanyia application, mimi mwenyewe nimejiuliza sana tatizo ni nini mpk nikamuuliza au labda tarehe za kuzaliwa zilizoko NIDA ni tofauti na zilizoko NECTA? maana majina yaNIDA yako similar kabisa na cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma,
mpaka nimejiuliza huwenda huyo anayejaza huko ndio anakosea au shida ni gani? sijapata jawabu mpk nimeleta kuuliza humu
Inawezekana una tatizo la kutokushaurika nikuombe jambo tunaomba piga picha hiovyo vyeti vyote NIDA yake au NECTA tukusaidie kutambua makosa ya huyo sijui mdogo wako sijui mchumba wako maake siyo kwa ubishi wako.. Haiwezekani OTEAS na mifumo mingine ikinzane something is wrong somewhere.. Usiwe Mbishi mfano halisi umeshanote kuwa Tarehe za kuzaliwa zilizopo NIda ni tofauti na zilizoko NECTA.. hilo tu ni moja unajuaje kuwa huko halimshauri wanalinganisha hilo pia? Utakuwaje Mwalimu ambaye tarehe ya kuzaliwa ya kuhitimu itofautiane na uliyozaliwa na uliyoweka NIDA mfumo ukutambuwe ilihali umeajiliwa kwa kupitia Cheti chako cha NECTA ambacho ndiyo chenye taaluma yako? Kuweni serious muda mwingine
 
majina yake Ya nida yalikua yanatokea tulipokua tukifanya Application mfumo wa Oteas TAMISEMI yako similar
nipatie namba yake ya nida hlf nipe copi ya cheti chake cha form four pm nitakupa majibu shida nn
 
majina yake Ya nida yalikua yanatokea tulipokua tukifanya Application mfumo wa Oteas TAMISEMI yako similar
Mbona unashauriwa hutaki ebu tuma vyeti hivyo tukusaidie kutambua kasoro..Siku zote tunahsauri kuwa na second eye kwenye proof reading.. Kumbuka ni wewe uliyemjazia kuomba kazi sasa imefika muda wa yeye kujisimamia ameshindwa kujitetea na kung'amua makosa ambayo na wewe kwa kuwa mwanzoni ulimfanyia umeshindwa kufumbuwa kosa pia
 
Back
Top Bottom