Mahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki

🀣🀣🀣🀣🀣imecheka mkuu!
Umeanza...
Hapana mkuu naongea ishu serious we jamaa una misimamo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Na hivo ndo inavotakiwa aiseeee..
Toka mwanzo niliona tuu we jamaa ni ngumu kutoka kwenye misingi yako...

Really nitaiga misingi yako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani bado hujaoa mkuu?
 
Sio kila mwanamke yupo kwa mwanamme kwasababu hana kwa kwenda!
 
Sasa hivi kama ni mzazi uwe karibu na mtoto wako wa kiume.
Wanawake wamekuwa watu wa hila moyoni kutaka kuchuma mali.
Mtoto kwa mzazi hakui.
Wasaidieni watoto wa kiume wanafanyiwa mambo ya hila sana na wake zao na kwa bahati mbaya wanaume wengi hawasemi wanabeba mambo kifuani na baada ya muda ni kuugua kisukari na presha.
 
Wenye pesa zenu kuweni wajanja kama Hachimi au Elon Musk. Vinginevyo kataeni kutumika. Na mkiamua kutumika basi msilalamike. Au mnalazimishwa kuhudumia? Si na nyie mnapata mnachokitaka kutoka kwa hao mnaowahudumia ama? Hata sielewi kwa nini malalamiko yanazidi kila siku?

 
Upo sawa kabisa Je, tufanyaje ili tuepuke huu mtego
 
Nimemkubali huyu jamaa.
 
Dawa ni ndoa za kiislam tu,Kila kitu kipo wazi kabla na baada ya ndoa,.....uislam upo mbele ya muda, hakuna huu ukanjaja........umeshasikia tajiri WA Saudi Arabia amegawana Mali na mkewe kisa ndoa kuvunjika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…