binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hata waliooa baadhi ni wapweke tu, Upweke hauhusiani na kuoa na kutokuoa.Shida wanasema usipooa utateseka na upweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata waliooa baadhi ni wapweke tu, Upweke hauhusiani na kuoa na kutokuoa.Shida wanasema usipooa utateseka na upweke
kwahiyo watu wanafanya tu ilimradi wajaze cvHata waliooa baadhi ni wapweke tu, Upweke hauhusiani na kuoa na kutokuoa.
Hapana , wana sababu zao zingine kedekede. Mojawapo ndio hiyo ajira ya kudumu kwa upande wetu, inasemekana lakini..!kwahiyo watu wanafanya tu ilimradi wajaze cv
nakumbuka nilivyokuwa naona wazazi wangu wanaishi, ni kama vile wanateseka yaani hawapendani ni kama wanafuata sheria tuHapana , wana sababu zao zingine kedekede. Mojawapo ndio hiyo ajira ya kudumu kwa upande wetu, inasemekana lakini..!
😂😂😂 nimecheka!nakumbuka nilivyokuwa naona wazazi wangu wanaishi, ni kama vile wanateseka yaani hawapendani ni kama wanafuata sheria tu
nawaza sana huko ndoani kuna nini nachanganyikiwa
Kwenye haya mambo huwa unafokea kweli kweli wenzako weweKwahiyo mi mfokaji wa taifa?
Mambo yalisha halibika mkuu, hapo ni kukamilisha tu uhalibifu wa hii taasisi kongwe duniani.John
Hii itaaribu maana nzima ya ndoa kuliko hali ilivyo.
Sio kweli mkuu. Wenye umaskini ndio ndoa zinadumu, wenye mkwanja ndio zinavilunjika ili wagaaaneSio wao ni umaskini ndugu zangu
Nadhani maana kuna boss mmoja bongo anamiliki redio station inasemekana mke wake kamsainisha ndio wakafunga ndoa. Sina hakika na hili ni story za mitandaoni kama usomavyo hapaPre naptal contracts zinakubalika katika sheria za Tanzania mkuu?
Tatizo nini sasa ndugu?Sio kweli mkuu. Wenye umaskini ndio ndoa zinadumu, wenye mkwanja ndio zinavilunjika ili wagaaane
Mkuu akili inatumika shida ni sheria zilizotungwa kumlinda mwanamke dhidi ya mwanaume ndio zinazowapa jeuriInaumiza sana mkuu, japo tulishaambiwa tutumie akili sana kuishi nao.
Mwanamke hulia kuficha uovu na mwanaume hucheka kuficha uchungu. Utakua kundi la kwanzamwanamke ukimtendea vema atakupenda daima na kukuheshimu siku zote....tatizo wanaume wengi hupenda kuwafanya wanawake kama watumwa wao..!
Natamani kuona hii interview au kusoma kutoka chanzo kinachoaminikaWenye pesa zenu kuweni wajanja kama Hachimi au Elon Musk. Vinginevyo kataeni kutumika. Na mkiamua kutumika basi msilalamike. Au mnalazimishwa kuhudumia? Si na nyie mnapata mnachokitaka kutoka kwa hao mnaowahudumia ama? Hata sielewi kwa nini malalamiko yanazidi kila siku?
View attachment 3158891
Na ukizeeka utakufa peke yako😆😆😆Shida wanasema usipooa utateseka na upweke
Tatizo ni movement zilizoanzia kwa wazungu na baadae kuzaa sheria zinazomlinda mwanake na kumkandamiza mwanaume kwa kigezo cha ndoa. Walianzia wana maslahi na hili:Tatizo nini sasa ndugu?
Wapo WANAWAKE kwenye hii hii dunia wanatamanisha kuoa Mkuu. Yaani unaona kabisa nisipomuoa huyu nina hasara ya milele. Yesu kawafinyanga wamefinyangika. Roho zao zinameremeta balaa😄Jukumu binafsi la kulinda mali zako na uchumi wako binafsi kwa dunia ya sasa iliyojaa wanawake ambao wanawatumia wanaume kama ngazi ya kutafuta mafanikio na kutoboa kimaisha ni KUTOKUOA BASI.
KATAA NDOA KWA NGUVU ZAKO NA KWA AKILI ZAKO ZOTE 😎🤝
Wapo WANAWAKE kwenye hii hii dunia wanatamanisha kuoa Mkuu. Yaani unaona kabisa nisipomuoa huyu nina hasara ya milele. Yesu kawafinyanga wamefinyangika. Roho zao zinameremeta balaa