Mahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki

Mahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki

nakumbuka nilivyokuwa naona wazazi wangu wanaishi, ni kama vile wanateseka yaani hawapendani ni kama wanafuata sheria tu

nawaza sana huko ndoani kuna nini nachanganyikiwa
😂😂😂 nimecheka!

Kila mtu a-customize ndoa yake kwa kadri inavyoweza ku-work kwake, mfano: kutokushare marafiki, kila mtu awe na marafiki zake kwa muda wake, kila mtu na hobby yake anayoifanya kwa muda wake, kama wote mnafanya kazi muda wa kufuatana ni mdogo, mnatengeneza date nights na family dates basi.

Otherwise ungana nasi 🤣
 
Wenye pesa zenu kuweni wajanja kama Hachimi au Elon Musk. Vinginevyo kataeni kutumika. Na mkiamua kutumika basi msilalamike. Au mnalazimishwa kuhudumia? Si na nyie mnapata mnachokitaka kutoka kwa hao mnaowahudumia ama? Hata sielewi kwa nini malalamiko yanazidi kila siku?

View attachment 3158891
Natamani kuona hii interview au kusoma kutoka chanzo kinachoaminika
 
Tatizo nini sasa ndugu?
Tatizo ni movement zilizoanzia kwa wazungu na baadae kuzaa sheria zinazomlinda mwanake na kumkandamiza mwanaume kwa kigezo cha ndoa. Walianzia wana maslahi na hili:
1. Taasisi ya ndoa ikifa wazungu watayza sex toys na vifaa vya kutunza mimba kirahusi
2. Ikitokea mgogoro hadi uamuzi uchukuliwe kuna pesa mingi za gharama za mahakama mtalipa
3. Nje ya taasisi ya ndoa ni ngumu kupata kizazi kinachojitambua, hivyo in the far future itakua rahisi kwao kupitisha ajenda zao zenye manufaa kwao dhidi ya viongozi na raia dhaifu wasio fikiri sawasawa na na wasio na maamuzi wa nchi zetu

Sababu hizi unaweza kuziona weak sana sasa hivi, ila wazungu wanaoshi mbele sana ya muda. Hawafikilii leo, wanafikili hadi vizazi vya kumi mbele na kuweka mikakagi. Leo unaweza kujiuliza kwanini wana promote ushoga kwa nguvu kubwa hivyo wanafaida nao gani?? Ni utamu tu?? Ila ushiga ni agenda na vita ya kiuchimi. Ni mpango wenye faida kwao kiuchimi miaka kuanzia 50 ijayo
 
Lakini mkuu......
Huyo mwanamke alie kujeruhi, sijui utaponaga lini...teh🤣
 
Ni ukweli mchungu hasa kwa sisi ambao tushajichanganya japo si kwa ndoa za makaratasi.....wanawake wamekua watukutu sana kiasi ukiwa "nice dude"yeye anataka uwe "rude guy"....kwa namna mambo ya kindoa yalivyo hapa nchini,ni obvious wanaume hatuko salama maana maadui tunaishi na kulala nao huku wakihesabu dakika za kutuangusha,too bad,yeah bad indeed!
 
Jukumu binafsi la kulinda mali zako na uchumi wako binafsi kwa dunia ya sasa iliyojaa wanawake ambao wanawatumia wanaume kama ngazi ya kutafuta mafanikio na kutoboa kimaisha ni KUTOKUOA BASI.

KATAA NDOA KWA NGUVU ZAKO NA KWA AKILI ZAKO ZOTE 😎🤝
Wapo WANAWAKE kwenye hii hii dunia wanatamanisha kuoa Mkuu. Yaani unaona kabisa nisipomuoa huyu nina hasara ya milele. Yesu kawafinyanga wamefinyangika. Roho zao zinameremeta balaa😄
 
Back
Top Bottom