John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Kama haipo kwenye Sheria za nchi hii, Basi Wananchi wanatakiwa wailazimishe Serikali ili kuingiza suala hili kwenye Sheria za nchi.Pre naptal contracts zinakubalika katika sheria za Tanzania mkuu?
Siku hizi Wanawake Matapeli wa Ndoa Wana msemo wao kwamba 'wanafunga ndoa za kimkakati 'Wewe unaonaje mkuu? Yaani unapambana familia ikae kiuchumi vizuri yeye anawaza magari, nyumba, mashamba na biashara zitakuwa lini ili nimpunyue zote..huyo ni nyoka tena koboko, ukigundua ni kumuwahi tu mmalizane mapema.
Yule binti hata akitaka Tanzania amiliki nampatia,nitawanyonga nyote huko.Shida wanasema usipooa utateseka na upweke
Simfahamu huyo binti unayemzungumziaYule binti hata akitaka Tanzania amiliki nampatia,nitawanyonga nyote huko.
🤣 Ndiyo ukweliMahusiano kwa sasa yamekuwa kama ajira ya kudumu kwa wanawake wa kizazi hiki cha sasa ,kama mwanaume una jukumu binafsi la kulinda mali zako na uchumi wako binafsi .Dunia ya sasa imejaa wanawake ambao wanawatumia wanaume kama ngazi ya kutafuta mafanikio na kutoboa kimaisha .🥺🤔🙇🏿♂
You are completely wrong.suluhisho ni kutokuoa tu, hiyo ndio dawa kamili. ni mwendo wa sogea tuishi kisela, ukinizingua nakutimua. hakuna ku_sign haya makaratasi yao ya kizungu yenye UTAPELI wa kijinsia.
Wewe unakulaga mchele mbichi siomwanamke ukimtendea vema atakupenda daima na kukuheshimu siku zote....tatizo wanaume wengi hupenda kuwafanya wanawake kama watumwa wao..!
Ningekuwa mimi huyo mganga kila slay queen akija babu yake nawachonganisha namwambia “ NIMEONYESHWA HUYU ATAKUNYONGA !! “. 😁 , halafu nawaacha wakapambane mbele huko 🤣🤣🙌🏻Nasikia Kuna waganga wa kienyeji wenye uwezo wa kuangalia future ya ndoa ya mtu.
Kwahiyo mi mfokaji wa taifa?Hii mada akija kuona yule binti kiziwi
Atafoka sana