StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Wanapatikana kwa gharama kubwa Sana kuliko unavyodhani. Yote ni kwa sababu ya QUALITY walio nayo. Mimi wangu nimempata kwa kufilisiwa kwanza. Kila nilichokuwa nacho Mungu alikipeperusha kusikojulikana!Wapo wapi hao,na mimi nikachukue mmoja!??
Wanapatikana kwa gharama kubwa Sana kuliko unavyodhani. Yote ni kwa sababu ya QUALITY walio nayo. Mimi wangu nimempata kwa kufilisiwa kwanza. Kila nilichokuwa nacho Mungu alikipeperusha kusikojulikana!
Sio Pesa mkuu. Pesa kazi yake kuendeshea maisha na siyo mapenzi. Mapenzi yanashikiliwa na hisia za dhati za Mke na Mume na si vinginevyo. Zikikosekana hisia hizi mahusiano yanakuwa yamejifia kibudu bado kuzikwa tu. Mimi nimempata wangu nikiwa kapuku niliyedharaulika sana mitaani. Mke wangu ni aina ya WANAWAKE wanaotamaniwa sana na wanaume kwa sababu ya muonekano wake ndio maana huwa anajifungia ndani tu hataki nongwa na watu🤣🤣🤣Duh, kwa hiyo pesa lazima itumike sana sio
Mekupata mkuu acha niendelee kutafuta kama wako😂🤣Sio Pesa mkuu. Pesa kazi yake kuendeshea maisha na siyo mapenzi. Mapenzi yanashikiliwa na hisia za dhati za Mke na Mume na si vinginevyo. Zikikosekana hisia hizi mahusiano yanakuwa yamejifia kibudu bado kuzikwa tu. Mimi nimempata wangu nikiwa kapuku niliyedharaulika sana mitaani. Mke wangu ni aina ya WANAWAKE wanaotamaniwa sana na wanaume kwa sababu ya muonekano wake ndio maana huwa anajifungia ndani tu hataki nongwa na watu🤣🤣🤣
Usitafute Mkuu. Hawa wa hivyo hawatafutwi. Cha kufanya unatakiwa ujiweke kwenye position ya kushushiwa na Mungu. Mungu sio mchoyo,kama kanishushia huyu mwanamke mwenye Roho angavu kapuku Mimi. Amini hata kwako pia inawezekana. Hawapatikani kimachomacho Mkuu. Utahangaika Sana!. Ipo namna ya kumfanya Mungu akuamini ili akushushie Mke wa hivyo!Ni
Mekupata mkuu acha niendelee kutafuta kama wako😂🤣
Waeleze ukweli babuu hawa wajukuu zako, wao nyapu wanataka ila kutoa hela hawataki! Na kuoa ndo washafunga ukurasa, sasa mwanamke gani atakubali kutumika au kuchezewa buree.Wenye pesa zenu kuweni wajanja kama Hachimi au Elon Musk. Vinginevyo kataeni kutumika. Na mkiamua kutumika basi msilalamike. Au mnalazimishwa kuhudumia? Si na nyie mnapata mnachokitaka kutoka kwa hao mnaowahudumia ama? Hata sielewi kwa nini malalamiko yanazidi kila siku?
View attachment 3158891
Laaaah tatizo umri unazidi kukimbia hiyo ndo shida tenaUsitafute Mkuu. Hawa wa hivyo hawatafutwi. Cha kufanya unatakiwa ujiweke kwenye position ya kushushiwa na Mungu. Mungu sio mchoyo,kama kanishushia huyu mwanamke mwenye Roho angavu kapuku Mimi. Amini hata kwako pia inawezekana. Hawapatikani kimachomacho Mkuu. Utahangaika Sana!. Ipo namna ya kumfanya Mungu akuamini ili akushushie Mke wa hivyo!
Hicho nilichokwambia hapo juu ndio kanuni ya uhakika, otherwise ni kucheza kamari Mkuu.Laaaah tatizo umri unazidi kukimbia hiyo ndo shida tena
Sawa mkuu nimelibeba hilo litanisaidiaHicho nilichokwambia hapo juu ndio kanuni ya uhakika, otherwise ni kucheza kamari Mkuu.
👍Sawa mkuu nimelibeba hilo litanisaidia
Hatari sanaMackenzie Scott alikuwa mke wa Jeff Bezos aisee aliidai talaka na akapewa umiliki binafsi wa hisa kwenye kampuni ya Amazon. Dunia ya sasa imekuwa na mambo ya ajabu sana.
Melinda French Gates naye kadai talaka mpaka kampromosha Bill Gates na hela zinaliwa tu na Kijamaa na Kijamaa hata hakimpendi Bibie Melinda, na anataka kurudisha majeshi kwa Bill 😄😄😄
Dah[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Inasikitisha sana, unaishi na nyoka ndani. Unawaza welfare ya familia yeye anawaza zitajaa lini ili aombe talaka mgawane 50-50.
Sema weee mwamba sijawahi kukupinga yaani una misimamo ya hali ya juu....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Na unajua kwanini nàkuona mtu wa misimamo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibongo bongo ndiyo ipo hivyo anatamani ufe chap arithi mali atafute kijana mdogomdogo wa kumpelekea moto, ila kwa nchi zilizoendelea huko talaka ndiyo limekukuwa kimbilio la wanawake wengiAombe talaka au aombe au kumroga mume au amtie msongo wa mawazo augue Kisukari na presha ya kupanda apigwe strock a tangulie yeye arithi mali.
Na unaweza ukawa ndani ya ndoa, ukajikuta ni mpweke zaidi ya hata ulivyowahi kuwa singleShida wanasema usipooa utateseka na upweke