Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Hahaha...

Hewalaaa kumbe ulichelewa kuanza kuchoma utambi, la sivyo jamaa ungekuwa unamletea noma kubwa ukishakuwa high...

Kasinde hapo kwa simu nilitaka tu kucross check timeline ili nipate koneksheni, hatimaye umenisaidia kuipata 🤗🤗

Aahahahahaha shuga acha kukonekti sana, connection zingine zinaleta shoti 😜
 

Not on my side, nilimkumbuka sababu nilikuwa na stress za mahusiano. Akachukua nafasi hiyo anifariji kwa huba....

Haikufaa / haikuwa suluhu na wala sikurejea kwake tena.
 

Baraka tele kwako kaka mtu.
 
Hahah sawa Kasinde wa babu ☺️

Babu yako ananikorogea ugoro anachanganya na ganja ya chuga.....

Yaani nalewa kila saa namtaja yeye tuu.....

I just love the way he loves me 🥰.
 
Kasie:

Kuna viashiaria uliviona mwanzo, kwa nini ujipe moyo kuwa atabadilika ilihali si kweli ?? Unakuwa na mtu kwa sababu ya!!

Hadi kesho sina majibu.....

Ya kutokea yalishatokea, imebaki stori...
 
Sio tu bullying, watu humu wanajiona wasafi kila sekta ni vile tuu mambo yao hayajulikani.

Kikubwa usijifungamanishe na maisha ya mtu. Kila mtu akale, kuoga na kulala kwake.

Humu inabaki story tuu.
Ndo nafanya tangu niwajue wazandiki wa humu,, Asante kwa kukazia
 
Pole sana.
Sasa hiyo miaka 10 yote ulikua nae kisa shoo tu?? Hapo katikati hukupata wengine wakukutreat vizuri ukaachana na huyo baradhuli!? Au ni vitisho pia vilichangia ukawa muoga??
 
Cannabis leave ur comment here
 
Your browser is not able to display this video.

Kwako my beloved Kasie uwe na siku njema kwako nijibu kwa wakati huo na huu wimbo unakumbuka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…