Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

Pole kassie

Miaka 10 umevumilia sana

Wengine hata mwaka tusingefika.


Yaani kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya namuweka wazi kabisaa siku mkono wako utakapotua juu yangu kwa kipigo, ndio tunayoachana tena tutaachania kituo cha polisi


Pole sana
 
Pole kassie

Miaka 10 umevumilia sana

Wengine hata mwaka tusingefika.


Yaani kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya namuweka wazi kabisaa siku mkono wako utakapotua juu yangu kwa kipigo, ndio tunayoachana tena tutaachania kituo cha polisi


Pole sana
Mbona wewe ulinivumilia miaka 7?
 
Nilikaa mseja kipindi kirefu sana nikijitibu/ nikitibiwa afya ya akili...
Ilibaki almanusura nilazwe Muhimbili sacatric baada ya kuachana nae.....

Babu nilikuja kukutana nae miaka 15 baadae.....

Hapo kati kote nilikuwa naishi kwa msuba /ganja.....

Wasn’t easy at all....!

HollyGod am outer there.
Bado unakula kijiti?
 
Sasa wewe umejuaje kama yuko Tanzania?
Babu huyu bibi yangu ameshakua addicted na vipigo heavy for 10 years, siku moja moja na wewe uwe unashtua makofi ya hapa na pale unamkumbushia enzi za ujana wake, halafu akilia unambembeleza kwa huba kama lote, akinyamaza unampiga ukuni wa maana anashinda anachekacheka tu kutwa nzima.
Ukijifanya kumhurumia atatoka nje kuibiaibia yule anaejua kuzibua mbata za maana.
 
Geees...!! Can you tell same words to your daughter or sister...!!???

To have a brake is okay but not to kill herself..

Na wanaume wa hivyo wala sio waleaji, atawatesa watoto tuu...
Kwa ndugu zetu wa ule mkoa kanda maalumu kupiga ndio mahaba au hujawah sikia hyo kasie ?
 
Shugaaaaaa nimechekaaaaa

Well msuba nilianza kuupiga katikati karibuu nani mwisho wa kuachana na mchumba.

Hiyo ya simu ilikuwa zishaingia TZ, kuna namna nimesimulia kuondoa dots au koneksheni na uhalisia kabisa....

Nashukuru nimefanikiwa. 🤓

Hahaha...

Hewalaaa kumbe ulichelewa kuanza kuchoma utambi, la sivyo jamaa ungekuwa unamletea noma kubwa ukishakuwa high...

Kasinde hapo kwa simu nilitaka tu kucross check timeline ili nipate koneksheni, hatimaye umenisaidia kuipata 🤗🤗
 
Kuna misimamo nimemuonyesha, amebadilika Ila Mimi sina Imani nae tena, nahisi kuna siku anaweza kunipiga tena....
Ila nimejiapiza siku akinigusa hii ndoa imeisha.
Don't be a weak my dearest sister siku akitaka kukupiga mwambie ukijaribu nitakuvizia usiku umelala nikumwagie maji ya moto usoni na mwilini


Trust me labda awe na roho ya watendaji kata ndio atathubutu kurudia
 
Jf ipitishe sheria umri wa kupost uwekwe humu...

Gentamicin wa kike...
 
Naongea with experience, najiona kabisa naelekea kufia mikononi mwa mtoto wa mtu, Ila ndo hivo nimevurugwa na show, nakitoka kupewa kichapo nabembelezwa hadi natamani niseme nipige tena....
Niombeeni.
Ooh, poor you!

Ukibaki hapo sisi ni nani tusiendelee kusoma breaking news za "kapigwa hadi kufa kisa wivu wa mapenzi".

Usikae kwenye mahusiano yenye ngumi na mapanga, never!!
 
Back
Top Bottom