Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka
Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue .

Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka ukambadilisha mtu au kutaka ufananenae tabia kwa asilimia zote hio ni ngumu . Wengi wanashindwa kulitambua hili
 
Kwa macho mnapima kwanza afya love

Vingine ni suala la muda kupitia hizo stages

Urafiki ~mahusiano~ mapenzi ~seleka/ Vurugu 😁😁😊!
Izo stage mpaka uje upewe mizinga imekukausha.πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwa sababu wanataka haki sawa cha hajabu wanakojoa uku wame chuchumaa kwa nini wasi simame kama sisi.
 
Kwa macho mnapima kwanza afya love

Vingine ni suala la muda kupitia hizo stages

Urafiki ~mahusiano~ mapenzi ~seleka/ Vurugu 😁😁😊!
Muda ni mali, ndani ya masaa mawili mnapaswa kua mshamalizana kila kitu, alafu ndiyo mengine yanafuata...
 
Muda ni mali, ndani ya masaa mawili mnapaswa kua mshamalizana kila kitu, alafu ndiyo mengine yanafuata...
Weeeeeehhhh pepo trokkkaaaaaaah!

Sheeeeeeennndwwwaaaaahhh! Ndio majuto yanakuja kuwa mjukuu staki mi walai!
 
Hayafiki mbali sababu ya nyie wanaume kuharakia utelezi love! Unakuta mtu niko na mibalaa yakwendraaa huna hata muda wa kutaka kunijuuaa Aloooooooooohh utajua hujuiiii[emoji4]
Nyie wapuuzi ndo mnaharakia shekeli/pesa
 
Wanakuja kukupa mwongozo Mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…