Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha.
Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali.
Kiasili wanawake ni selfish yani ndo kaumbwa hivyo na ni ngumu kumbadilisha na haiwezekani yani ukitaka kumbadilisha kwenye kipengele cha uselfish utakufa mapema. Ndo maana hata maandiko yanasema
mtume muhammad Swalallahu a'layh wasaalam amesema "mwanamke ni kama ubavu uliopinda ukiunyoosha sana basi utauvunja na ukiuwacha basi utapinda zaidi hivyo mnatakiwa muulee kati na kati" yani usipinde sana wala usinyooke sana hawa ndio wanawake wana mapungufu makubwa mno. Kwenye biblia pia "wanawake waheshimuni wanaume zenu🖋️" maana hawawezi kupenda kwakuwa ni naturally Selfish, basi angalau watoe heshima na utii tu.
Ndo maana wao hupenda kutendewa vizuri kupewa zaidi KULIKO kutoa, it's not surprising mwanamke kulalamika kupewa zawadi hata kama uliwahi fanya hivyo mara nyingi zaidi ya kutokufanya.
Kuna mda mwanaume sio kama hatutaki maisha mazuri na kuwapa wanawake kila munachokitaka ila. Kuna muda Hupewi Kinachostahili Unapewa Kilichopo. Upofu wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe wanaume ni ngumu sana kubadilika kitabia
Mfano mwanaume anaweza kukaa na wavuta bangi na ndo rafiki zake lakini anaweza kukaa nao na asivute bangi hata siku moja lakini kwa upande wa pili ipo tofauti kidogo
Akikaa na maslay queen wavaa mawigi na yeye atataka kuvaa mawigi . ukiona mwanamke kabadilika kitabia cha kwanza ebu chunguza kwanza anakaa na marafiki wenye tabia gani .... Jinsia ya KIKE haijawahi lizika kwa chochote. Kama mwanaume relax we fanya mambo yako tu kama mwanaume.
Karibu kujadili mada kwa pamoja na mimi pia naomba unipigie kura na kwenye stories of change ...thread title UCHUMI NA MAENDELEO