Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
KIBIOLOJIA Mahusiano Mengi Yanavunjika Kwa Sababu Wanawake Wanahisi Wao Peke Yao Ndo Wanahitaji Furaha.
Lakini wanawake wengi wana amni wao ndo wanasitahili furah kuliko mwanaume na akiikosa furaha mwanamke mwanaume unaonekana hufai kabisa na mwanaume anaonekana haumjali.