Hii mada imenigusa Moja kwa Moja,
Jana usku nmetoka kugombana na mamaJ kisa suala la kutokwenda kwake mchana kumpa haki yake.
Usku wa manane wa kuamkia Jana niliwasili nkitokea Safar, sikuepo wiki nzima. Akasema kanimiss, nifanye nikampe Hali yake asbh hiyo hiyo.
Nikamwambia nmechoka Sana,
Asbh Hii acha nipumzike afu mchana ntakuja nikupe Haki yako. Akasema sawa
Sijakaa sawa,
Asbh hiyo hiyo nikaitiwa dili ya hela ofsin.
Ikabd niache kupumzika niende kwenye dili
Nmerud saa 10jion kulala na kupumzika, kanipigia niende hata usiku nmemweleza kua nmechoka sana. Asbh ile badala ya kupumzika,niliunga Tena ofsin.
Tufanye kesho, nna usgz sn Kichwa mpk kinaniuma, acha niupumzishe mwili.
Anacholazimisha eti dili langu halimuhusu, anachotaka Ni Haki yake. Nikaona mpuuz uyu, Nikamkatia Simu nikalala zangu usngz kwangu.
Nmempigia alfajr ya leo hajapokea Simu,
asbh naenda kazin nikampitia kwake. Kanuna,kafura na kavuta mdomo hata salamu yangu hataki kuitikia.
Nikaona ananipotezea MDA,
Nikaachana nae nmeenda kazin kwangu,
Hasira zake za kipuuz zikiisha ntarud nimpe haki yake.
Tukirud kwenye hoja,
UNALOLISEMANI SAHII KABISA,
Kuna baadhi ya WANAWAKE NI WABINAFS WAKUBWA sana WA HISIA.