Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na kuna wakati, unaweza ukawa na mambo 10 ya kumtimizia. Likishindikana moja na huku tisa yamewezekana, MALALAMIKO YAKE YANAKUWA SI YA NCHI HII..!! Mtu analalama mpaka unaweza ukadhani ungelikamilisha hilo moja na ungeyaacha yale tisa labda asingelalama..!!Na usipotimiza moja kati ya hayo unaachwa
Taabu sana,Na kuna wakati, unaweza ukawa na mambo 10 ya kumtimizia. Likishindikana moja na huku tisa yamewezekana, MALALAMIKO YAKE YANAKUWA SI YA NCHI HII..!! Mtu analalama mpaka unaweza ukadhani ungelikamilisha hilo moja na ungeyaacha yale tisa labda asingelalama..!!
Yaani ni mikausho pande zote hizo.Kwani hela zinatutoka kwenye ndoa pekee?? Umewasahau wala nauli..!!
Kuna mmoja huyo nimekutana nae majuzi tukabadilishana namba nikamuomba mzigo akasema niendelee kusubiri.Hii mada imenigusa Moja kwa Moja,
Jana usku nmetoka kugombana na mamaJ kisa suala la kutokwenda kwake mchana kumpa haki yake.
Asante sana..... Nanyi msisahau kutupa mambo matam kwani ndipo nguvu zetu zilipo😋Msisahau kutupa hela jamani, tunaelewa hali ni ngumu mnapambana mjitahidi hivyo hivyo....tunatanguliza shukrani.
Fact mzeeUmetema madini boss wangu, najua wanawake wengi wa JF watapita kimyaaaa...
Sasa bora ambae anafanyiwa mazuri na huku anatoa papuchi..
Kuna ng’ombe zingine zinataka kuhudumiwa alafu kuliwa tunda hazitaki..
aiseee Hapo mimi huwa nageuka kuwa katili zaidi ya shetani, sipendi ujinga kabisa.
Na ndo maana tunakuf mapemaNa kuna wakati, unaweza ukawa na mambo 10 ya kumtimizia. Likishindikana moja na huku tisa yamewezekana, MALALAMIKO YAKE YANAKUWA SI YA NCHI HII..!! Mtu analalama mpaka unaweza ukadhani ungelikamilisha hilo moja na ungeyaacha yale tisa labda asingelalama..!!
Nakuja ila awe mwanamke wa kuelweka tu 😁😁😁😁Naona wengi wana shida ya wanawake. Anaetaka mwanamke wa starehe aje inbox
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mmoja huyo nimekutana nae majuzi tukabadilishana namba nikamuomba mzigo akasema niendelee kusubiri.
Sasa kanipiga mzinga wa kwanza nikampa,kesho yake tena akaja na shida nyingine nikamuhaidi ntamtumia kesho yake.
Sasa imefika kesho yake sikua nimemtumia hadi mchana,nikakuta meseji mbili za lawama sana kwamba ananitegemea
Nikapata hasira maana dalili ya kumla haipo afu anaomba invoice kwa lawama nikamchana live kwamba,me naona hili penzi halijabalance maana siwez endelea kukutumia vimiamala vyangu wakati sina hakika kama kweli umeniridhia so njoo unipe mambo nijue kweli tuko pamoja
Akanijibu kwamba haitaji maelezo mengi kama imeshindikana basi[emoji23]
Ikaisha hivo hadi leo.
Watatuua mapema tukiwaendekeza sanaHii mada imenigusa Moja kwa Moja,
Jana usku nmetoka kugombana na mamaJ kisa suala la kutokwenda kwake mchana kumpa haki yake.
Usku wa manane wa kuamkia Jana niliwasili nkitokea Safar, sikuepo wiki nzima. Akasema kanimiss, nifanye nikampe Hali yake asbh hiyo hiyo.
Nikamwambia nmechoka Sana,
Asbh Hii acha nipumzike afu mchana ntakuja nikupe Haki yako. Akasema sawa
Sijakaa sawa,
Asbh hiyo hiyo nikaitiwa dili ya hela ofsin.
Ikabd niache kupumzika niende kwenye dili
Nmerud saa 10jion kulala na kupumzika, kanipigia niende hata usiku nmemweleza kua nmechoka sana. Asbh ile badala ya kupumzika,niliunga Tena ofsin.
Tufanye kesho, nna usgz sn Kichwa mpk kinaniuma, acha niupumzishe mwili.
Anacholazimisha eti dili langu halimuhusu, anachotaka Ni Haki yake. Nikaona mpuuz uyu, Nikamkatia Simu nikalala zangu usngz kwangu.
Nmempigia alfajr ya leo hajapokea Simu,
asbh naenda kazin nikampitia kwake. Kanuna,kafura na kavuta mdomo hata salamu yangu hataki kuitikia.
Nikaona ananipotezea MDA,
Nikaachana nae nmeenda kazin kwangu,
Hasira zake za kipuuz zikiisha ntarud nimpe haki yake.
Tukirud kwenye hoja,
UNALOLISEMANI SAHII KABISA,
Kuna baadhi ya WANAWAKE NI WABINAFS WAKUBWA sana WA HISIA.
Hapa watapita kimya kimya🤣🤣🤣🤣Umetema madini boss wangu, najua wanawake wengi wa JF watapita kimyaaaa...
Sasa bora ambae anafanyiwa mazuri na huku anatoa papuchi..
Kuna ng’ombe zingine zinataka kuhudumiwa alafu kuliwa tunda hazitaki..
aiseee Hapo mimi huwa nageuka kuwa katili zaidi ya shetani, sipendi ujinga kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] tutapata taabu sanaaEla ya nauli atoe mwanaume
Ela ya chakula atoe mwanaume
Ela ya lodge atoe mwanaume
Mauno na kumfikisha kileleni ni jukumu la mwanaume
Ela ya sabuni atoe mwanaume
Ela ya ahsante babe! atoe mwanaume
Hiki si kifo jamani wakuu, hakuna muda wa mwanaume kuridhika kabisa, mwanaume anakuwa boss ila mtumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa, soo saad, mimi ndo mana naogopa mapenziNa usipotimiza moja kati ya hayo unaachwa
Kwani kua na mpango na ww hadi akupe tunda?Kuna mmoja nimemchana juzi,maana anaomba tu vihela ila kuliwa ananipanga
Nikamwambia naona hauna mpango namimi pita hivi.
Huu ni mpango kando? aka Project Hasara?Hii mada imenigusa Moja kwa Moja,
Jana usku nmetoka kugombana na mamaJ kisa suala la kutokwenda kwake mchana kumpa haki yake.
Usku wa manane wa kuamkia Jana niliwasili nkitokea Safar, sikuepo wiki nzima. Akasema kanimiss, nifanye nikampe Hali yake asbh hiyo hiyo.
Nikamwambia nmechoka Sana,
Asbh Hii acha nipumzike afu mchana ntakuja nikupe Haki yako. Akasema sawa
Sijakaa sawa,
Asbh hiyo hiyo nikaitiwa dili ya hela ofsin.
Ikabd niache kupumzika niende kwenye dili
Nmerud saa 10jion kulala na kupumzika, kanipigia niende hata usiku nmemweleza kua nmechoka sana. Asbh ile badala ya kupumzika,niliunga Tena ofsin.
Tufanye kesho, nna usgz sn Kichwa mpk kinaniuma, acha niupumzishe mwili.
Anacholazimisha eti dili langu halimuhusu, anachotaka Ni Haki yake. Nikaona mpuuz uyu, Nikamkatia Simu nikalala zangu usngz kwangu.
Nmempigia alfajr ya leo hajapokea Simu,
asbh naenda kazin nikampitia kwake. Kanuna,kafura na kavuta mdomo hata salamu yangu hataki kuitikia.
Nikaona ananipotezea MDA,
Nikaachana nae nmeenda kazin kwangu,
Hasira zake za kipuuz zikiisha ntarud nimpe haki yake.
Tukirud kwenye hoja,
UNALOLISEMANI SAHII KABISA,
Kuna baadhi ya WANAWAKE NI WABINAFS WAKUBWA sana WA HISIA.
Ogopa kabsa huyo mdudu ni balaa ameua watu wengi mnoDaa, soo saad, mimi ndo mana naogopa mapenzi
Hawa viumbe ukitafuta kuwaelewa unatafuta kifoNa kuna wakati, unaweza ukawa na mambo 10 ya kumtimizia. Likishindikana moja na huku tisa yamewezekana, MALALAMIKO YAKE YANAKUWA SI YA NCHI HII..!! Mtu analalama mpaka unaweza ukadhani ungelikamilisha hilo moja na ungeyaacha yale tisa labda asingelalama..!!