Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu wanawake wanahisi wao peke yao ndo wanahitaji furaha

Ubinafsi umetujaa ndo maana. Tunatakaga sisi tu. Na hakuna kitu kibaya kama kuwa mpokeaji tu na sio mtoaji.
 
Sijui zinahisigi wewe na baba yake!!
 
Kuna mmoja nimemchana juzi,maana anaomba tu vihela ila kuliwa ananipanga
Nikamwambia naona hauna mpango namimi pita hivi.
umeamua vyema kabisa, akanyage kubwa kubwa akienda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…