Mahusiano na dada wa kambo

Mahusiano na dada wa kambo

Hilo suala wazazi wenu hawatakuwa tayari.
Baba wa huyo dada yako alikulea kama mtoto wake, namama yako akamlea huyo binti kama mwanae, hii mnaleta aibu kwa wazazi wenu na jamii nzima.

Usije kushangaa wazazi wakawalaani mkijifanya mnapendana sana na kutowasikiliza.
Kama mtaendelea kulana kimasikhara endeleeni ila suala la kuoa, utamfanya mama yako akuone ni mtoto mjinga na huna akili.
Ni kweli mkuu na kuendelea kulana pia ni Zambi mbaya sana ila ndio hivyo tatizo moyo .

Tumetokea kupendana sana
 
Washirikisheni wazazi wenu, mnaweza shangaa kusiwe na kipingamizi chochote na hata vikiwepo nyie angalieni upendo wenu wa dhati, nyie sio ndugu mnaoana mchana kweupeee,

Btw, how comes hamkupeana ujauzito miaka 17 mlikua mnasex hovyo hovyo hivyo na mpaka sasa sina shaka bado hamjapata watoto, mkapimane mapema kabla hamjaoana msije mkasingizia laana sijui upuuzi gani.
 
Neno murua
 
Ngoja kwanza nisome upepo nitachangia

1000019095.jpg
 
Washirikisheni wazazi wenu, mnaweza shangaa kusiwe na kipingamizi chochote na hata vikiwepo nyie angalieni upendo wenu wa dhati, nyie sio ndugu mnaoana mchana kweupeee,

Btw, how comes hamkupeana ujauzito miaka 17 mlikua mnasex hovyo hovyo hivyo na mpaka sasa sina shaka bado hamjapata watoto, mkapimane mapema kabla hamjaoana msije mkasingizia laana sijui upuuzi gani.
Kama unavyojua uhusiano wetu ulikuwa wa siri na bado ni wa siri hivyo tulikuwa makini changamoto kama hizo ikiwemo kufumwa au kupeana ujauzito zisijitokeze na binti alikuwa anajua mzunguko wake vizuri hata ukibadilika.

Hapo kwenye kuanza kuwaambia mzazi ndio mtihani sasa hapo ndipo kichwa kinauma

Nimfuata huyo baba yangu nimwambie nina mahusiano na mtoto wake ambaye anajua kwangu ni dada wa kambo amenilea naye toka nina miaka 17 yaani hapo ndipo changamoto
 
Back
Top Bottom