HideYoKids
Member
- Jan 11, 2025
- 52
- 72
- Thread starter
- #41
Nime Google kwa dini zote mbili maandiko yanakataa mkuu .Udugu utaanzia Kwa mtoto atakayezaliwa na baba wa kambo na mama yako,
Ila Kwa watoto uliowakuta Kwa baba wa kambo hamna damu Wala nasaba hapo,
Unapiga tu..ni kama kuoa mtoto wa baba mkubwa.