Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Wewe unadhani hizo posho ni ndogo kwake? Hebu fikiria angekuwa naki boyfriend cha ajabu kingemgegeda bure tu lakini wewe unamgegeda unamkata "kiu" na bado unampa 20 au 30. Unafanya mchezo nini. Yaani anarudi nyumbani hana hela ukija ukiondoka unamwacha mwepesi na bado ana misimbazi.
 
Sidhan mkuu,
Mbona kama haiingii akilini mkuu,
Kwa mwanamke mpambanaj Kama yule kwamba Alikua kwangu kwa ajili ya hizo posho tu?[emoji848]
 
Shukuru sana kwa huyo mwanamke,nakushauri umtumbue mama j halafu mpandishe rank huyu fundi nguo.
Sisi wengine tuna mkosi. .tukipewa mbususu ukaacha kahela kidogo tu kesho yake unapewa mkeka wa meseji

Vipi hali?.. nawewe umelala njaa kama mimi?
Kesho nauli ya kwenda kazini sina
Hela hunipi ntapata wapi hamu,ebu niachee
Nimekopa vitu vya 30k dukani,uje ulipe..
 
Ukute yeye mwenyewe anapenda mwanaume ambae ham bani bani. Yaani hataki mwanaume wa kumganda kila mda kumfatafata nyuma kama mkia. Kuna wanawake ambao hawapendi mwanaume ambae yuko "available" mda wote tuu anapatikana kirahisi.

Ndio maana ukipotea nayeye anakaa kimya anaendelea na mambo yake anajua utakuja tuu.
Angetambua angeshanambia au kunilaumu TU mkuu,

Ujue Yuko kimya na anatabasamu maisha yanasonga, yaan utadhan sijawahi mkosea.
 
Shukuru sana kwa huyo mwanamke,nakushauri umtumbue mama j halafu mpandishe rank huyu fundi nguo.
Sisi wengine tuna mkosi. .tukipewa mbususu ukaacha kahela kidogo tu kesho yake unapewa mkeka wa meseji

Vipi hali?.. nawewe umelala njaa kama mimi?
Kesho nauli ya kwenda kazini sina
Hela hunipi ntapata wapi hamu,ebu niachee
Nimekopa vitu vya 30k dukani,uje ulipe..
Kama ulikuepo mkuu,
MamaJ ukiacha Ela ndogo ni ugomvi,
Huyu hanuni, halalamiki Wala hanunguniki.

Sema hapo kwenye kumuacha mamaJ moja kwa moja ndio kipengele mkuu[emoji848]
 
Back
Top Bottom