Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

Shukuru sana kwa huyo mwanamke,nakushauri umtumbue mama j halafu mpandishe rank huyu fundi nguo.
Sisi wengine tuna mkosi. .tukipewa mbususu ukaacha kahela kidogo tu kesho yake unapewa mkeka wa meseji

Vipi hali?.. nawewe umelala njaa kama mimi?
Kesho nauli ya kwenda kazini sina
Hela hunipi ntapata wapi hamu,ebu niachee
Nimekopa vitu vya 30k dukani,uje ulipe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cocastic ushapita hapa??
 
Shukuru sana kwa huyo mwanamke,nakushauri umtumbue mama j halafu mpandishe rank huyu fundi nguo.
Sisi wengine tuna mkosi. .tukipewa mbususu ukaacha kahela kidogo tu kesho yake unapewa mkeka wa meseji

Vipi hali?.. nawewe umelala njaa kama mimi?
Kesho nauli ya kwenda kazini sina
Hela hunipi ntapata wapi hamu,ebu niachee
Nimekopa vitu vya 30k dukani,uje ulipe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati naanza kusoma sikuangalia I'd lakini nikajisemea mbona huyu kama @ DeepPond nakuja kuchek kumbe kweli ni wewe. Pole mkuu lakini wapo wanawake wa hivyo na sio kwamba wanajali kitu mioyoni mwao washajionea sawa tu na hawana habari na mahusiano.

Anaweza kuwa na wanaume wengine au hata asiwe nae kabisaa yote yanawezekana
Mali ya mtu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na huyu naye anayajua mambo? Pumzi anahimili kama mama j?
 
Wife wako atakuwa anasmile akimuona mchizi mwingine hivi hivi...hicho kimya chake lazma kina mshindo. Yani mpaka unamuacha ukumbini unaenda kupiga mechi kwenye gari.

Nakuhakikishia alivyoingia kwenye hiyo gari alijua, sema kakausha.
 
Back
Top Bottom