She is beautiful, very, she is worthy the cry, haya mambo ya mapenzi hayana mbabe, ni jambo la "timing" tu, unaweka mguu mmoja , usiweke miguu yote miwili,
iliwahi kunitokea wakati nikiwa "underground" katika mahusiano, mapigo ya moyo yaliongeza pace aisee, namshukuru MUNGU aliyetenda hivyo alirejea mwenyewe baada ya muda mchache na funzo alilopata hadi kesho ana heshima, baada ya tukio hilo niliweka "resolution" na zimenifaa mpaka sasa!
Lakini mwisho wa siku mwanaume anapaswa kuwa na namna tofauti ya ku-"react" kwenye "situation" kama hizo, nadhani hii ya MC sio sahihihi sana!