Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Tumchangie nauli arudi Dodoma.[/
ANAFANYA YALE AMBAYO WENGINE WANAFANYA KWENYE MITANDAO....KICK
Daah kweli mapenzi upofu,sa mwanamke mwenyewe ndo huyu wakumlilia hadharani ana pua kama koki ya bomba la sinki la chooni
Kwa nini Salman Khan alijifungia ndani mwezi mzima akilia baada ya mpenziwe Aishwarya Rai kufunga ndoa na Abisheck Batcchan!?
Hata sie madume tunaumia na kulia tu, Hatuna moyo wa chuma, Na wala hakunaga komando kwenye chaakulaaa
Pole sana mkuuNiliwahi kulia
Mkuu vipi una ugomvi na huyo MC? Mbona unatoa kashfa kwa huyo dada bila sababu za msingi? Anaweza asiwe mzuri kwako ila ana thamani kwa mwenzio.Daah kweli mapenzi upofu,sa mwanamke mwenyewe ndo huyu wakumlilia hadharani ana pua kama koki ya bomba la sinki la chooni
Hio avatar yako sio nzuri.Ntalia nikipoteza hela sio mwanamke
Daah kweli mapenzi upofu,sa mwanamke mwenyewe ndo huyu wakumlilia hadharani ana pua kama koki ya bomba la sinki la chooni
Ngoja nibadilishe mkuuHio avatar yako sio nzuri.
Hivi ni kweli au,maana alikuwa wapi kumuoa mtu akiolewa ndio unaumiaa