Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

Mahusiano na mapenzi yakifikia ukomo; Kumbe kuna wanaume wanaangua kilio hadharani namna hii

Hii ni kick yaan watu jaman mnashindwa kuelewaa kabisaa kuwa hayupo serious ilaaa kuna kazi inakujaaa ndo wanaitafutiaaa kick doooooh jaman tuwe tunajiongezaaaa
 
Hakuna kitu serious hapo tena ukizingatia anaetajwa ni huyo andunje Mwijaku? Itakuwa Kiki ya new project tu!!!
 
Shida mwanaume ukiwa mfupi kiasi na msichana mrefu kukupita wewe kwa kifupi mnakua hamuendani..nilikua naona mtandaoni nikajua ni maswala ya masihara masihara hivi huyu nicole si alishawahi kua miss kitu fulani hivi na huyo bwana mwijaku ndo yule muigizaji?
 
She is beautiful, very, she is worthy the cry, haya mambo ya mapenzi hayana mbabe, ni jambo la "timing" tu, unaweka mguu mmoja , usiweke miguu yote miwili,
iliwahi kunitokea wakati nikiwa "underground" katika mahusiano, mapigo ya moyo yaliongeza pace aisee, namshukuru MUNGU aliyetenda hivyo alirejea mwenyewe baada ya muda mchache na funzo alilopata hadi kesho ana heshima, baada ya tukio hilo niliweka "resolution" na zimenifaa mpaka sasa!
Lakini mwisho wa siku mwanaume anapaswa kuwa na namna tofauti ya ku-"react" kwenye "situation" kama hizo, nadhani hii ya MC sio sahihihi sana!
 
Back
Top Bottom