RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Simfahamu huyo binti wala MC, ila simshangai kulialia.Mkuu kama ikikupendeza naomba unipe wasifu wa huyu dada anayeliliwa tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simfahamu huyo binti wala MC, ila simshangai kulialia.Mkuu kama ikikupendeza naomba unipe wasifu wa huyu dada anayeliliwa tafadhali.
She means it!!!!When a woman is fed up.
Alikua Miss Shinyanga miaka kadhaa nyuma,amezaa na mbunge wa Ikungi pia anacheza film mbali mbali hapa TzMkuu kama ikikupendeza naomba unipe wasifu wa huyu dada anayeliliwa tafadhali.
Ukimuona wa nini, Sie twawaza tutampata lini.Kha!! anajiliza bure tyu sijaona mchuchu wa kulia lia na kumkumbusha yaliyopita ili akuonee huruma
Nilitegemea ni kinanda kikali kumbe cha kumulika na torch
Duh. Mzee huko vizuri.Kwa nini Salman Khan alijifungia ndani mwezi mzima akilia baada ya mpenziwe Aishwarya Rai kufunga ndoa na Abisheck Batcchan!?
Hata sie madume tunaumia na kulia tu, Hatuna moyo wa chuma, Na wala hakunaga komando kwenye chaakulaaa
muongo huyu[HASHTAG]#kombeladuniakiswazi2018startimes[/HASHTAG] analia na promo bado anapiga safi sana [emoji122][emoji124][emoji124]
Sana anatubeba ujingamuongo huyu
Haaahhaaa...nawewe ulipendaga wa hivoo?Siwezi kulia, ila naumia kama binadamu. BTW huyu dada anafanana na binti mmoja pekee ambae alinikamata! Sijui hizi sura zina nguvu fulani?!!!
There is nothing you can do about it.
Like a woman scornedHell hath no fury..........
kwa hiyo cv yake ndo imeishia hapo mkuu?Alikua Miss Shinyanga miaka kadhaa nyuma,amezaa na mbunge wa Ikungi pia anacheza film mbali mbali hapa Tz
Mi najua hvyo tukwa hiyo cv yake ndo imeishia hapo mkuu?
surebila shaka ni wa darisalama
Hivi kipindi yuko na nicole ,nicole alikuwa hajazaa na mbunge?Mnaafiki tu huyo pilipili si alikua na Rose Ndauka!anajishaua tu
Kisa niniii,nasikia salman alikuwa ana tabia ya kumpiga ashNa mpk Leo hajaoa wala hana mpango anaishi na mama yake!na ukaribu haupo kabisaa na ile familia kuna siku ashawahi kutiwa Kofi km sikosei na Jaya Bachan