Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Bado nahis maana mwanawe bado mdogo!Hivi kipindi yuko na nicole ,nicole alikuwa hajazaa na mbunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nahis maana mwanawe bado mdogo!Hivi kipindi yuko na nicole ,nicole alikuwa hajazaa na mbunge?
Sana kupiga na wivu uliopitiliza!Kisa niniii,nasikia salman alikuwa ana tabia ya kumpiga ash
Sasa mpaka nicole kuzaa na mbunge ye pilipili alikuwa anamsubiria tu au,halaf huyo mwinjaku ni nani ? Na wamefunga ndoa ya serikali ama maana sioni shelaBado nahis maana mwanawe bado mdogo!
Salman mzuri hana hata watoto?Sana kupiga na wivu uliopitiliza!
Hana hata mmoja wadogo zake, Arbaaz,Sohail wana watoto yeye hana mpk watu wanahisi ni free masonSalman mzuri hana hata watoto?
Mimi bado siamini ngoja tuvute mudaSasa mpaka nicole kuzaa na mbunge ye pilipili alikuwa anamsubiria tu au,halaf huyo mwinjaku ni nani ? Na wamefunga ndoa ya serikali ama maana sioni shela
Hawajaachana na rose kwani?halaf kuna siku nilimuona na kidemu kingine jua kali na misuti yakeMimi bado siamini ngoja tuvute muda
kwani Mc Pilipili yupo na Rose Ndauka na alimtambulisha km mpenziwe kwa mama yake mzazi na mkuu wa wilaya sasa mkuu wa Mkoa Ruvuma
ni kweli huyu Pilipili alishapata ajali huko Shinyanga naona akimvizia huyu Nicole
sijui jamani kwani Mama Sabrina kwa kioo tu Rose Ndauka kamuacha kwa mbali saaana huyu Nicole sijui Pilipili kaona nini cha zaidi tumuachie alielie
naona walishaachana kwani Rose aliachana na Malick Bandawe msanii mwenzie baada ya kupata mtoto (kwa Rose ni wa pili) huenda Mc Pilipili huenda yalimshibda pia lkn hata Nicole naye ana mtoto, iliyopo Mc arudi tu Dodoma tumpe mtoto wa kigogo ataishi naye salama, hawa mastaa na kuchangia mabwana haitaishaHawajaachana na rose kwani?halaf kuna siku nilimuona na kidemu kingine jua kali na misuti yake
ha hahaa kweli ""Huyu tutamrudisha mkoani, alikuja Dar kichwa kichwa.
Hakuna, Wengine Ni Wazuri kwa Wote Na Kuna Wabaya Kwa WoteBeauty in da' eyes of beholder ndugu yangu [emoji12][emoji12][emoji12]
Anaitwa Nani Huyo Mbunge Wa Ikungi?Alikua Miss Shinyanga miaka kadhaa nyuma,amezaa na mbunge wa Ikungi pia anacheza film mbali mbali hapa Tz
Elly KinguAnaitwa Nani Huyo Mbunge Wa Ikungi?
Simpendi HuyuElly Kingu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simpendi Huyu