Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi.
Picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae takrbani miezi 7, kipindu tunaanza kudate nlkua naweza kumbeba ila saiv anananishnda.
Akija kushinda nyumbani, kuna vyakula, jiko lipo, kila kitu kipo ila kupika mpaka umwambie, yeye anataka ununue ili asihangaike, kama jana namwambia kuna boda ananiletea mzigo usku utakula nn ili tumwagize anasema saiv ni saa 12, akileta saiv kitapoa ko nisubili, nkamwambia si utapasha jiko lipo, na uksema tuagze badae itakua gharama tena bora uyu aje nacho, anakwambia kama ndo ivo mi sili, apo mpaka umbembeleze.
Kila wiki nampa si chini kwa ajili ya matumiz, ila utashangaa anakuomba bando.
ukimwambia akusaidie nguo hasa hasa za kazini hataki, anasema wakati anadeki wewe ukafue, mpaka nazipeleka mashineni.
Juzi nlkua nmeenda mkoani shamba mm na rafiki yangu, nlvorudi nkakuta amenuna, anasema nmechelewa na nmepeleke kwake hasjkii kukaa kwangu, yaan ndo nmefka sjala anasema nmpeleke kwake.
Saivi anataka simu na wakati hataki simu yake niishke, mara pochi, mara cheni, mara jelly mara eti nmpe mtaji wa biashara.
Akikuomba kitu ata kama ni kidogo ukikataa anakukalia kimya anakasrika, mda mwingne nahisi ni utoto ila nkiangalia naona ni mtu mzma maana ana 21, na mimi sijafika 23.
Kuna kipindi nilmbwaga ila ikabidi nirudiane nae maana nilkosa kampan kabisa, alafu mim sio mtu wa wanawake wengi siku hizi ila anasumbua sana, kwa wiki mnaweza kutumia 100K kwa ajili ya chakula tu.