Prisca,Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Mtandaoni huwez kupata dadaNahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate
Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
[emoji16]Yaani hapo nadhani vihezo na kidhi, Ila naomba ufafanue hapo * asiwe mlevi* umelenga mlevi wa aina gani future wife?
Acha kutupeperushia ndege wetuMtandaoni huwez kupata dada
Acha kumkatisha mwenzio tamaa. Mbona wanaume tupo humu na tunatafuta wanawake serious wakuwowAMtandaoni huwez kupata dada