Mahusiano serious(Mume)

Mahusiano serious(Mume)

prisca25

New Member
Joined
Nov 19, 2020
Posts
1
Reaction score
7
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate

Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
 
Yaani hapo nadhani vigezo na kidhi, Ila naomba ufafanue hapo * asiwe mlevi* umelenga mlevi wa aina gani future wife?
 
Miaka umenibania kwenye ulevi sijakuelewa maana kuna mnywaji na mlevi lakini wote wanakunywa
Mimi ni mnywaji ila sio kila siku ni weekend tena jumamosi
 
Nahitaji mwanaume alie serious kuanzisha mahusiano na badae kuwa mume na mke. Sifa zangu
-umri 32
-Mkristo
-Sina mtoto
-Nimeajiriwa Government
-Elimu Postgraduate

Sifa za mwanaume awe na
-Umri 34-48
-Asiwe na mke
-Awe anaejishughulisha ameajiriwa au kujiajiri
-Asiwe mlevi
Prisca,
mwanaume mwenye umri unaoutaka (34 - 48) kutokuwa na mke ni very rare, na hasa kama kiafya yupo safi. Wa hivyo labda awe amefiwa na mke, au awe amemtaliki mke. Lakini tegemea kuwa atakuwa na mtoto/watoto. Kwenye ulevi lazima uwe specific. Kwamba awe hagusi pombe kabisa..!!! wachache.

Anyway, kila la kheli
 
haya nimekuelewa aisee
 
Inbox tuyajenge, maana tukiwa inbox hamjibu Sasa sijui huwa mnafanya test
 
Watu mmo bize kujiongelesha mleta uzi kasepa. Labda kasahau log in credentials endeleeni kupambana.
 
dada umesoma mpaka wanaume wamekimbia hapo inabidi utafute mwanaume mwenye phd au masters
 
pote nimefuzu...
Ila mimi sina kazi japo Nina mpango wa kazi vipi naweza fikiriwa?
 
Back
Top Bottom