Mahusiano sio hitaji pekee mpaka usumbuke nalo kila siku, usisahau pesa pia huna

Mahusiano sio hitaji pekee mpaka usumbuke nalo kila siku, usisahau pesa pia huna

Nje ya box; Wenye mahusiano na vibabu pamoja na mashangazi wanapata PESA kwa njia zote mbili..
 
Kumbe ndo ulivyo🤣🤣🤭
Ndio nawaheshimu sana wanawake kwanzia mama yangu mpka ma x wangu ndio wanifanya niwe kama nilivyo bila kusahau na binti yangu mdogo 😊
 
Mimi naona kuingia kwenye mahusiano kiingilio kiwe hamna hamna kabisa Milioni 5...........ili watu wawe serious kidogo. Maana unakuta jitu muda wote, oooooh yule manzi ana wowooo zuri, mara oooooh yule mtoto ana mchuchu saa sita, mara kale ka-sheeee kananichezea rafu sana kwenye bedroom........imekuwa too much, sasa mtu wa style hii unafikiri kwenye ubongo wake nini kimetawala?

Kama sio utupu tu wa wanawake.
Kwa kweli
 
Back
Top Bottom