Mimi naona kuingia kwenye mahusiano kiingilio kiwe hamna hamna kabisa Milioni 5...........ili watu wawe serious kidogo. Maana unakuta jitu muda wote, oooooh yule manzi ana wowooo zuri, mara oooooh yule mtoto ana mchuchu saa sita, mara kale ka-sheeee kananichezea rafu sana kwenye bedroom........imekuwa too much, sasa mtu wa style hii unafikiri kwenye ubongo wake nini kimetawala?
Kama sio utupu tu wa wanawake.